Duh mchambuzi wetu wa Leo umetukamataa! Israel na kikwazo Cha Vita ya Ukraine na kushindwa kuishambulia Iran kijeshi inahusiana kwa namna ipi?
Nb. Kila hatua za mwanzo dhidi ya uvamizi kutoka kwa NATO dhidi ya Iran vilishafanyika hasa vikwazo.
Vimesaidia Nini kuzuia Iran kuzidi kujiimarisha kijeshi na kiuchumi?
Hakuna!
Maandamano je?
Ni mengi Sana kwa miaka ya karibuni 2008,2012, 2018 ilikuwa Ni miaka ya maandamano lakini je West wamepata Nini?
Kwa hatua ya Iran leo, kushambuliwa kijeshi na US au Israel Ni kuchafua maghorofa yote ya Tehran, najaf, Doha, Bethlehem , Muscat kuwa vumbi na vifusi.
Kwa mantiki ya kuepuka maangamizo Iran husema Mara kwa Mara atakaetumika na Us dhidi yake Moto utamwakia!
Sent from my TECNO RA7 using
JamiiForums mobile app