Israel yaibembeleza US kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Iran

Amesharudi Netanyahu, siku sio nyingi mabomu yataenda kusambaratisha miradi yote ya nyuklia ya Iran.
Mkuu unamaanisha Iraq au Iran iliyovurumisha makombora kwenye kambi ya US na kuangusha ndege ya uturuki?
 
Akimaanisha KUWAIT, israel, Iraq na Saudia.

Yeye anaanza na jirani ndo mengine yafuate!!...

Na inasemekana ana mzigo wa makombora ya kutosha!!..
Kuna jarida moja la mtandao Military Watch wanasema Kwamba Iran Ni nchi yenye makombora mengi zaidi hasa baada ya US na Russia.
Jarida linakadiria Iran kuwa na makombora ya namna mbalimbali 20000.
Hali hii Nani atataka kurudi Zama za mawe?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Alishamuona Iraq na Libya alijua fika yeye anafuatia.

Alichoakua akainvest kwenye Tech na Jeshi ili imsaidie baadaye.

Nuclear programs ndo turufu yake ya kutovamiwa na tetesi zinaonesha ni kweli mzigo anao.

Muahudi amechelewa now ndo maana anasitasita
 



Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
ni vitisho tu mkuu hana lolote jipya. walisema, libya, Iraq etc lkn waliishia kuuawa nakuhakikishia!
 
Israel wanajiona Taifa teule Sana, Acha Iran iwadungue tu
 
Anasubiri nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…