akifanya Urusi mnasifia
Nasikia kuna watu wanasafirigi mpaka huko madina saudia. Wakifika wananunua mawe kisha wanayatumia kupiga jiwe wakilisingizia ni shetan.
Magaidi yana ukosefu wa akili
1. Kwa hiyo haya maji yalimwagwa Buza?
2. Tukio likarushwa na TBC ndiyo maana kuifungia Al Jazeera kwa kukataa kulirusha? Ama?!
3. Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 1)
4. Kwamba huna hoja katika mukthadha wa mada hivyo hapo uko standby kishabiki shabiki ila hoja huna?
5. Hapo #4, kwako kumbe ni kwenye lingo za wafia dini na za simba na Yanga huko?!
6. Hapo #5, huko mbona hutakuwa peke yako? Utakuwa na mama watoto na watoto na wengi tu: MK254, denoo JG kama Kibugoma na Mwanakilatu.
7. Hapo #6,
"Kwa hakika mtanawiri, mtanawiri yoyo yo ... " š¶šµš¼ -- Zahir Ally (Zorro)
Magaidi yana ukosefu wa akili
Nasikia kuna watu wanasafirigi mpaka huko madina saudia. Wakifika wananunua mawe kisha wanayatumia kupiga jiwe wakilisingizia ni shetan.
Du Hadija Kopa una Mipasho.1. Ulituona wapi tukisifia? Haya si ndiyo Yale ya Shivji?
Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 1)
2. Hoja hushindanishwa kwa hoja siyo ushabiki!
Lavrov wa Urusi awavunja mbavu wajumbe G20 India
3. Kwamba kwa vile umekurupushwa kutokea chooni, haina maana hata bila kujua nini kipo mezani wewe tayari ni mjuzi na una mahitimisho ya kila jambo.
4. Tushindane kwa hoja si ushabiki!
5. Mashabiki wenzio kina Economist, Allen Kilewella , denoo JG, JokaKuu, MK254 na wa namna hiyo kutana nao kwenye majukwaa ya Simba na Yanga na udini huko!
6. Huku tutakuona kama oil chafu tu, masalia tokea awamu ya Tano.
7. Bure kabisa!
1. Kwa hIyo ndiyo maana kafungiwa Al Jazeera na hiyo ni halali kwako?
2. Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 1)
3. Ufia dini unaangukia sawia humo #2.
4. Ilaaniwe awamu ya Tano, kwa kutuzalishia mataka taka nyie!