Wakati jana Mh. Nchimbi akitoa tamko la serikali kuhusu bomu la Arusha wayahudi wengi katika mgahawa wa Omwiny Kibbur hapa mjini Bettelheim walisikika wakisema toa toa kwa maana waliona kama anawaletea uchuro tu, kwa sababu gani tuliuliza, wakasema kwao Marehemu Mwalimu Nyerere wanamwona ni jushaa wa Israil sambamba na akina Bibi Golda Meir,Revy Eshikor, Meyer Hamit n.k.
Miaka ya sabini mwanzoni enzi za utawala wa Milton Obote wa Israel waliwekeza sana Uganda, waliwekeza kijeshi na katika kilimo walijenga pia uwanja wa ndege wa Entebbe, Baada ya Serikali ya Obote kupinduliwa na Idd Amin wayahudi waliendelea kuwepo lakini baada ya Idd Amin kurubuniwa na waarabu wa-Israel walikuja kufukuzwa Uganda kama mbwa na jengo la Ubalozi wao wakapewa Waparestina.
Iliwauma sana sana ile ya kufukuzwa kama mbwa licha msaada wa waliowakitoa kwa Uganda. Kisasi hicho alikuja kuwalipia Mwalimu Nyerere katika vita vya kagera mwaka 1978 hatima yake nay eye Idd Amin alikuja kufukuzwa Uganda kama mbwa, kuanzia hapo Israel inaiheshimu sana Tanzania na hususani Mwl. Nyerere maana alidhihirisha wazi kabisa serikali maana yake ni nini.
Serikali yoyote ikitoa tamko hutekelezwa lakini siyo serikali ya Tanzania ya awamu hii wayahudi walikuwa wanatuambia, tukawauliza kwani serikali yenu ya Israel ilitoa tamko gani likatekelezwa na ulimwengu ukashuhudia? Jibu lilikuwa ni rahisi sana walisema uwokowaji wa mateka wa Ki-Israel huko Entebbe Uganda mwaka 1976,serikali iliahidi na ikatekeleza.
Sasa serikali yenu matamko na matamko hamuna utekelezaji serikali gani wayahudi walituhoji, tukauliza tena kwani tamko gani halijatekelezwa? Wakasema ni mengi ila la hivi kiribuni ni la uvunjaji wa jengo ambalo linaonekana ni hatari sambamba na lile lililopolomoka manasema utekelezaji wa tamko hilo ni mashaka sana, tukawauliza kwani serikali yenu ilitekeleza tamko gani kama hilo?
Pia jibu likawa rahisi sana bila kumung`unya maneno wala kupepesa macho walisema ni uvunjaji wa jengo la Popular Front for Liberation of Parestina (PFLP) mwaka 1966 mjini Beirut Caros jambazi alikoswakoswa kidogo sana kuuwawa katika tukio hilo, jeshi la Israel liliporomosha jengo hilo la gorofa sita kwa dakika tano tu. Wakasema wenyewe wakipewa tender ya koporomosha jengo hilo lenye utata hapo Dar watachukua dakika kumi tu.
Tukaendelea kuwauliza wayahudi kwani kwetu tatizo ni nini?
Wakasema kwenu mmejiachia sana, mmejisahau kila Taifa lina waadili, miiko na utamaduni wake , kwenu sasa hivi mnajiendea kiwetewete tu, tukasema hebu fungukeni mna maana gani?
Wakasema Tanzania ni ya Watanzania kama vile Zimbabwe ni ya WaZimbabwe na wala siyo vinginevyo kuwahusisha wageni masuala yamengine ya Tanzania ni kosa kubwa sana kumhusisha mgeni masuala ya Tanzania ni lazima umjue background yake kwa undani sana na usibahatishe wakasema nyie mna vyombo kama vile usalama wa taifa wao wana MOSSAD ambayo 100% iko correct haibahatishi wala haikosei katika kutoa ushauri, tukawauliza kufanya hivyo si ubaguzi?
Walikanusha vikali wakasema siyo, huo ni utamaduni ambao inchi inabidi ijiwekee mfano Marekani walikubali Obama mjaluo awatale siyo kwa kubahatisha waliijua fika background yake, background yake ingekuwa mbovu wasingempa uongozi asilani abadani.
Tukawauliza wayahudi ambao walikuwa wametuzunguka mbona Mwalimu Nyerere ambae wanamkubali sana aliwapa uongozi wahindi kama Amir Jamal, Derek Bryson n.k ?
Wakajibu bila kumung`unya maneno wala kupepesa macho kwamba wahindi wale walikuwa wanafanya kazi za serikali na mwisho wa mwezi walikuwa wanaenda dirishani kukinga mshahala wahindi wa sasa wanaokimbilia ubunge na mnawapa hawafanyi kazi za serikali nia ni kuwahujumu tu uchumi na kukwepa kodi na kufanya biashara haramu , tukawauliza watoe mfano wakatoa mfano wa mhindi mmoja alipata ubunge mkoa wa Morogoro akawa hachukui posho wala mshahara vyote alimwachia dereva wake alikuja kufia Uingereza kwa kujidunga madawa mengi ya kulevya.
Wakaendelea kusema kwamba vita vyao vya siku sita walivoshinda mwaka mwaka 1966 walipigana na wataifa 13 ya kiarabu hawakushinda hivihivi tu ni matokeo ya upuuzi kama unaofanywa na Tanzania, walipeleka mtu wao Damascus Syria aliyekuwa anaitwa Elly Cohen master spy akajifanya ni mwarabu wakasema kama mnabisha someni novel ya MOSSAD iliyoandikwa na military correspondent watatu Denis Isernberg, Uri Dani na Elly Randau Yule mtu wasyria walimzoeya wakamwonyesha kila kitu kama mnavyofaya Tanzania kila alichokuwa anakiona alikuwa anatoa ripoti katika jeshi la Israe matokeo yake vita ilivyoanza ilichukua siku sita tu waarabu wote chaliii.
Mwisho tukawauliza mfano wa Elly Cohen wa Tanzania ni akina nani? Bila kumung`unya maneno wala kupepesa macho wayahudi wakatujibu ni Abraham Kinana na Aden Rage.
Ebaeban
Israel.