Israel yaililia Tanzania

ahsante
 
Hii ni aina ya uandishi au ni kweli kwamba ulikuwepo Israel..??
 
Hii ni aina ya uandishi au ni kweli kwamba ulikuwepo Israel..??
mkuu kama unanijibu mimi nakupa link ya thread ambayo iko well researched ni reference.hii thread inaitwa the mother of all threads.Hutaimaliza ni ndefu ila jitahidi uende hata mpaka page ya kumi,

ALL ROADS LEAD TO ROME
 
Ngoja niende nayo taratibu niisome neno kwa neno...
 
unataka kusema kuna miungu wana mungu wao?
 
in capitals HESHIMA KWAKO MKUU, nakubali kwamba wewe unasoma biblia ukiwa "huru"!
 
Ningependa kujua kwanini hii thread haijafutwa,mods wana ushahidi gani kwamba haya yanayosemwa ni kweli.na hawaoni kwamba inaleta uchochezina kupandikiza chuki,na hawaoni/hamuoni kwamba ina base ktk self interest
 
"KAMA UNAAMINI HIVYO ENDELEA KUAMINI HIVYO" Mwigulu Nchemba
 
bethelehemu iko WESTBANK kwenye mamlaka ya palestine.hao wayahudi hapo palestina wakifanya nini?je wayahudi wanasikia kiswahili?

Acha longolongo,

The message speaks louder and very sensitive for those with great minds!
 
Well said mkuu Mg007, Mwalimu hakuwa close na Waisrael baada ya vita vya 1967, badala yake alikuwa anaunga mkono Palestinian cause kwa asili mia 100%.

Nimejaribu kusoma uzi huu kwa umakini sana, labda niseme sijuhi yaliyo semwa humo yana ukweli kwa kiwango gani!! au yana malengo gani? Israel haiwezi kupoteza muda na resources zao kufatilia mambo ya Tanzania na si ajabu baadhi ya Waisrael wala hawajuhi Tanzania hiko wapi katika ramani ya Dunia! Tanzania kuna raia wengi wenye asili za Mataifa mengine kama ilivyo Ulaya na Merikani, the question is: WHY pick on raia wenye asili ya Somalia, if I may ask?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…