mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 428
Subili yanakuja yaje yakushambulie kigaidiBaada ya yaliyotokea kwa kiongozi wa kikundi cha kigaidi cha Hamas, Iran hana tena ujasiri wa kuitisha Israel kwani wamedhihirisha wazi kwamba wenyewe ni joka la kibisa tu.
Magaidi ya Dumila Morogoro wanasemaje? Wako kimya sana tangu juzinamba 2 toka nasraa wa hezbullah wameshakula kichwa. nasraa sasaivi anahangaika hata pa kukimbilia hapajui,na walivyo katili, wayahudi wakaenda kupiga mtu iran ambako kiongozi wa hezbollah angekimbilia ili ajue hata akienda kule ataliwa kichwa kulekule. wanaangalia kama anaweza kukimbilia uturuki lakini shida ni kwamba waturuki ni sunni, na hezbollah ni shia. shida sana kwao.
Habari zilishaletwa zikachangiwa sana Kichapo kinaendelea kwa walioshiriki kuua Jews na raia wa mataifa mengine.. hakuna escape Magaidi na mashabiki wao.. So let it be written let it be doneJeshi la ulinzi la israel limefanya shambulio la angani lililolenga Kamanda wa Hezbollah mjini beirut kufuatia shambulio lililosababisha vifo vya watoto wengi katika eneo la Golan heights eneo linalokaliwa na israel ambapo Hesbollah wamekanusha kufanya shambulio hilo.
kupitia ukurasa wao wa X jeshi la ulinzi la Israel IDF wameandika kua IDF imefanya shambulio linalolenga kamanda wa Hezbollah kwa kufanya shambulio lililo sababisha vifo vya watu 12 ikiwa ni watoto na vijana katika Majidal Shamsi.
Aisha, baraza la ulinzi la Izrael lilimpa waziri mkuu Benjamin Natanyahu mamlaka ya kuamua ni lini na vipi Israel itajibu mashambulizi na Tayari wa ulizi amesema kua israel itajibu kwa Mapigo makubwa . Lakini pia Iran imetoa onyo kwa Israel kua ikithubutu kushambulia lebanon madhara yatakua ni makubwa, Na tayari mashambulio yameanza.View attachment 3057321View attachment 3057323View attachment 3057322
PoteIran au Lebanon