The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Hata kama unampenda zayuni ila sio namna hii... na je vp wamefanikiwa kuuondoa utawala wa babu madevu.. na zile ngano za Israel ukipiga bomu linadunda nafikiri tumeona.. na mwisho kabisa mungu wa Israel anaetajwa na waisrael wa kazimzumbwi tumemuona baada ya kuingilia vita baada ya kuona kiumbe wake anadundwa...KOBAZI KESHAMALIZWA PROGRAMS ZOTE HATARISHI
Makamanda hatarishi wote chali,vinu vya nyuklia vyote chali
Afu wahuni baada y kumaliza mission yao wanakuleta mezani na hana nguvu ya kupingaπππ
Imekubali au kulazimika baada ya kuishiwa pummz? Bye bye niitenyauSerikali ya Israel inasema imekubali pendekezo la Donald Trump la kusitisha mapigano.
Katika taarifa, Israel inasema: "itajibu kwa nguvu kwa ukiukaji wowote wa usitishaji mapigano."
Serikali ya Israel inasema ilikubali pendekezo la kusitisha mapigano baada ya "kufikia malengo" ya mashambulizi yake dhidi ya Iran.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Israel imeondoa "Iran kama tishio mara mbili" kuanzia silaha za nyuklia hadi makombora ya balestiki.
Pia inasema Israel "imesababisha uharibifu mkubwa kwa uongozi wa kijeshi, na kuharibu maeneo kadhaa lengwa ya serikali ya Iran".
Taarifa hiyo inaendelea kusema kwamba majeshi ya Israel, katika siku ya mwisho, "yamefikia malengo ya serikali katika kitovu cha Iran, na kuwaondoa mamia ya wanajeshi wa Basij" β ambao mara nyingi hutumika na serikali ya Iran kukandamiza waandamanaji - na "kumuua mwanasayansi mwingine mkuu wa nyuklia".
"Israel inamshukuru Rais Trump na Marekani kwa kumuunga mkono katika ulinzi na ushiriki wao katika kuondoa tishio la nyuklia la Iran," taarifa hiyo inaongeza.
Wayahudi bwana, vita hii imewatia kiwewe na aibu kubwa, hawakutegemea kama Wairan sio lelemama, we fikiria wamefikia mpaka hatua ya kupiga kombora kwenye mlango wa gereza wakiamini wafungwa wakitoka humo na kutoroka basi wataanzisha colour revolution kama ya Ukraine na kuipinduwa Serikali ya Iran - walikuwa wanaota tu Regime change wakasahau kwamba Wairan wana mshikamano si rahisi kuwarubuni, Serikali za magharibi zilisha mtayarisha mtoto wa Marehemu Shah Pahlavi eti aje kuiongoza Iran!! Trump na Natenyahu wakasahau kwamba Wairan si mbumbumbu kiasi hicho.ππ Israel wamepagawa na kipigo maana walidhani Iran anatania kumbe mwenzao amemaanisha.
Hotuba ya leo ya Ayatollah Ali Khamenei inaonesha umoja na mshikamano thabiti kwa wananchi wa Iran kumpinga Mzayuni.
Walidhani wangewashawishi wananchi wa Iran kuandamana na kumpinga kiongozi wao mkuu kumbe imekuwa tofauti.
Hahahahaha umenikosha hadi kwenye sakafu ya moyo wangu nilitamani waendelee kupasuana walau miezi 6 tuone Israeli ingekuwajeIran ina jeshi kubwa na lenye weledi mkubwa.
Israel na Marekani wamekutana na kisiki cha mpingo hawaamini.
Israel hawezi kupigana na Iran ndani ya mwezi tu pale Israel patageuka kuwa magofu na hilo analijua vizuri.
Kama wiki tu nchi imekuwa magofu matupu vipi kuhusu mwezi?
Nakumbuka jinsi ya improvised road side bombs za Wairan zilivyo waua wanajeshi wengi wa Kimerikani huko Iraq!! Iran si mchezo.Iran wamedevelop saan anaweza akapiga against usa na washirika wake wote wa kimangharibi na akawasumbua