Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Afisa muandamizi wa jeshi la Israel Brigedia Generali Reem Aminoach amelalamika kuwa "Muajemi" kaiingiza Israel kwenye hasara kubwa mno kwa shambulio lake la jana usiku ambalo limeifanya Israel kutumia kati ya shekel bilioni 4 hadi 5 (zaidi ya USD bilioni 1) kwa usiku mmoja tu ktk kujilinda dhidi ya bando la "Muajemi" la droni na makombora 300 kwa mpigo.
Brigedia jenerali huyo akaendelea kufafanua kuwa wakati Israel yenyewe imetumia mapesa mengi kujilinda, Iran imetumia "vijisenti" kidogo tu kwenye manunuzi ya bando hilo na kuliposti Israel.
Chanzo: Ynet
====
The staggering cost of Israel's defense against Iran's missile attack: '4-5 billion shekels per night' Brig. Gen. Reem Aminoach, economic advisor to former IDF chief of staff, tells the Ynet studio about the high cost of activating the defense systems in Israel overnight, and the relatively low price paid by Iran
Alexandra Lukash | published:12:59