Israel yalipua ghala la silaha za Hezbollah lililojengwa kwenye makazi ya watu

Israel yalipua ghala la silaha za Hezbollah lililojengwa kwenye makazi ya watu

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Ghala hilo kubwa lilikuwa limejengwa sehemu yenye makazi ya watu kwajili ya kutunzia silaha za kuishambulia Israel.

Baada ya kushambuliwa, silaha hizo zimeanza kufumuka bila mpangilio, nyumba zinalipuka, watoto na wanawake wanakufa.





 
Magaidi ni majinga sana, hupenda kujificha katikati ya makazi ya watu yakidhani Israel itaogopa kupiga hapo au haitagundua. Kumbe Israel ni wendawazimu waliopinda vibaya, wanapiga popote bila woga wala huruma.
 
Magaidi ni majinga sana, hupenda kujificha katikati ya makazi ya watu yakidhani Israel itaogopa kupiga hapo au haitagundua. Kumbe Israel ni wendawazimu waliopinda vibaya, wanapiga popote bila woga wala huruma.
Israel ni jeshi linalojitahidi kupunguza maafa ya raia kadri iwezekanavyo japo ni mtihani sababu Hamas na Hezbollah wanaweka silaha na miundombinu yao kwenye makazi ya watu, Mfano leo Israel wameshambulia ghala la silaha pekee lakini wana uwezo wa kushambulia majengo mengine.

Hezbollah na Hamas wanajitahidi kuua waisrael wengi hasa raia wa kawaida kadri iwezekanavyo, ushahidi ni october 7, ilikuwa sehemu yoyote wakiona mtu anapumua kwap ni kibali cha kuua.
 
Hakuna kucheka na kima; piga magaidi na miundombinu yao no matter iko katikati ya raia or otherwise!

Na hao raia wakome ku-support magaidi. Ukijenga urafiki na jambazi na wewe ni jambazi.
 
Israel ni taifa ambalo nchi zenye watu wenye akili timamu ukitoa mataifa ya warabu hayawezi anzisha vita na Taifa hilo!
Watu wenye akili timamu hua wanaamini mahusiano ni baina ya mwanaume na mwanamke

Ukiaminu kinyume kama mnavyoamini wewe na hilo taifa lenu teule ujue mnakua vilaza pro+
 
Watu wenye akili timamu hua wanaamini mahusiano ni baina ya mwanaume na mwanamke

Ukiaminu kinyume kama mnavyoamini wewe na hilo taifa lenu teule ujue mnakua vilaza pro+
Ostazi Juma, hivi unajua ushogha upo mpaka kwenye ukoo wenu? Ushogha sio taifa fulani shekhe

Kuna mashogha ya kiarabu, mashogha ya kizungu, mashogha ya kiafrica na TANZANIA yapo

Kuna mashogha ya Kikristo, yapo mashogha ya kiislamu

Lakini wakati huo huo, kuna watu wema ndani ya Uislamu na Ukristo pia

Sasa wewe endelea kufundisha mema kwa watoto wa Madrasa, jichunge na uchunge wanao msiwe mashogha
 
Wacheni ujinga nyie kila siku mnasema Israel kapiga silaha, kuruka kwa vitu sio kwamba ni silaha inawezekana hata kapiga kiwanda cha kutengeneza vyuma au chemical za kutengeneza materials flani vitu vikaruka, sio kwamba silaha. Mchukuwa video yuko mbali hata cheche zile kubwa zikiruka mtasema silaha 😄

Silaha za Hezbullah kuzifikia Israel is not a joke, zipo chini ya ardh,i afu hio yakusema kaziweke kwenye mji karibu na watu nadhani Nasurlah alisha jibu, wao hawana haja ya kuweka silaha Airport au karibu ni mji haswa Lebanon
kuna wanafiki wanauza information kwa pesa tu, Nasurlah alisema wana ardhi kubwa sana mbali na watu za kuzihifadhi hizo silaha, kama we mtoa mada unavyo fikiria sio kila Israel alisemalo ni kweli.

Haya kazimeni moto huo mmepelekewa bada ya kusema mmepiga silaha 😄


View: https://youtu.be/q7PtAvDtQZ0?si=BWS3fZ2zSBzvHx9Q
 
Back
Top Bottom