Israel yalipua ghala la silaha za Hezbollah lililojengwa kwenye makazi ya watu

Israel yalipua ghala la silaha za Hezbollah lililojengwa kwenye makazi ya watu

Ubaya wa hii vita ya Israel wao wanadhibiti habari zoote wanazopigwa hata kuuwawa sana wanajeshi wao.Hawasemi hata kwamba kuna miji yao wananchi wamehama kabisa imebakia magofu...ila wao wenyeww wanapigwa sana sana...Na hata makao makuu ya Mossad yamepigwa ila wamezuia habari zoote...Huo ni.unafiki na uoga
 
WAKIRISTO WA JF MNAPATA SHIDA SANA. BABA YENU PAPA ASHASEMA ISREAL NI MAGAIDI LKN BADO NYINYI MNAMPINGA
Si wakristo wote wanamtambua PAPA kama baba yao ,ndio maana nchini mwetuu kuna shirikisho la kikristo TANZANIA CCT na katoliki sio member sio usituchanganyie habari Mkuu
 
Ah
Ahudhurie mazishi huo uwezo anao? Japo alitamani kujumuika kuwazika wenzake ila hakuweza kufanya hivyo kutokana na hofu ya kuuliwa na IDF.
Kwa hiyo kwa sasa licha ya ubaunsa wake anaishi kama digidigi huko aliko sio?
Myahudi acha aitwe Myahudi.
 
Back
Top Bottom