Israel yamuua msemaji wa kundi la wanamgambo wa Palestinian Islamic Jihad Abu Hamza

Israel yamuua msemaji wa kundi la wanamgambo wa Palestinian Islamic Jihad Abu Hamza

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Msemaji wa kundi la wanamgambo wa Palestinian Islamic Jihad, Abu Hamza, ameripotiwa kuuawa katika shambulio la Israel katika Ukanda wa Gaza, kwa mujibu wa chombo cha habari cha Saudia, Al Hadath, Jumanne asubuhi.

Kulingana na ripoti hiyo, Hamza na familia yake waliuawa katika nyumba yao huko Nuseirat.

Baadaye Jumanne, vyanzo kutoka ndani ya kundi hilo viliiambia Reuters kwamba Hamza aliuawa katika shambulio hilo.

===========================================================

Pro-Hamas and pro-Palestinian Islamic Jihad (PIJ) social media accounts on Tuesday claimed that Israel eliminated PIJ spokesperson Abu Hamza along with his wife and few other family members.

The social media handles citing Gazan news channels said that Abu Hamza was killed along with his wife Shaimaa Abu Seif, brother Ghassan Maher Abu Seif, his sister-in-law Sara Abu Seif and their children.

The Israeli military and its air force is yet to confirm the killing of the spokesperson of the armed wing of the Palestinian militant group.

The development comes shortly after Hamas claimed that Israel has eliminated a top leader of the group along with at least 400 civilians which also included an Israeli hostage.

Among those killed in airstrikes on their homes were Essam Addalees, the de facto head of the Hamas government, Ahmed Al-Hetta, deputy justice minister and Mahmoud Abu Watfa, the deputy minister of interior and head of the Hamas-run security services, Hamas said.

Source: News18
 
Kiongozi wa Islamic jihad huko Gaza Abu Hamza naye kaangamizwa kufuatia mashambulizi ya anga ya majeshi ya Israel!!
Mpaka sasa hivi bado hatujawaona wale waliokuwa wanajifanya kuvaa combat mchana mchana huko Gaza
unataka wavae combat hili iweje ?ww peleka tu askari wa miguu utakutana nao mtaani wamejaa
 
Netanyahu ataingia kwenye vitabu vya historia kwa kuwaangamiza maadui zake kwa ufanisi.
 
unataka wavae combat hili iweje ?ww peleka tu askari wa miguu utakutana nao mtaani wamejaa
Askari wa Israel tayari wako kwenye mitaa ya Gaza. Magaidi waache kujificha waje ulingoni wakiwa na Combat zao!!
 

Attachments

  • Pray for our warriors.mp4
    2.7 MB
Back
Top Bottom