Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
..kweli kabisa,wafikie tu MUAFAKAIsrael itawamaliza
Si kweli.Mayahudi yameanza "polopaganda" zao.Mtu imara kama yule hauwawi kizembe.#HABARI Waziri Mkuu wa serikali ya Yemen inayoongozwa na Wahouthi na mawaziri wengine kadhaa wameuawa katika shambulio la Israel kwenye mji mkuu Sanaa, mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Houthi amesema jana Jumamosi, likiwa ni shambulio la kwanza la aina hiyo kuua maafisa wakuu.
Wengine kadhaa walijeruhiwa katika shambulio la Alhamisi, Mahdi al-Mashat ameongeza bila kutoa maelezo. Katika taarifa yake ya ijumaa, Israel ilisema kuwa shambulio hilo la anga lilimlenga mkuu wa majeshi wa kundi linalofungamana na Iran, waziri wa ulinzi na maafisa wengine wakuu.
Ahmad Ghaleb al-Rahwi aliteuliwa kuwa waziri mkuu mwaka mmoja uliopita, lakini kiongozi mkuu wa serikali alikuwa naibu wake, Mohammed Miftah, ambaye aliteuliwa Jumamosi kutekeleza majukumu ya waziri mkuu. Rahwi alionekana kwa kiasi kikubwa kama mtu maarufu ambaye hakuwa sehemu ya ndani ya uongozi wa Houthi.
Alikuwa mshirika wa Rais wa zamani wa Yemen Ali Abdullah Saleh, ambaye Wahouthi walimtimua kutoka Sanaa mwishoni mwa 2014 na kusababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa muongo mmoja, lakini baadaye wakaungana na kundi hilo. Yemen imegawanyika kati ya utawala wa Houthi huko Sanaa na serikali inayoungwa mkono na Saudia huko Aden tangu wakati huo.
Tangu vita vya Israel huko Gaza dhidi ya kundi la wanamgambo wa Palestina Hamas kuanza Oktoba 2023, Wahouthi wanaoungwa mkono na Iran wameshambulia meli katika Bahari Nyekundu kwa kile wanachoeleza kuwa ni vitendo vya mshikamano na Wapalestina.
Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz alisema jana Jumamosi kwamba shambulio hilo lilikuwa ni"pigo kubwa" dhidi ya WaHouth, akiongeza kuwa huu ni mwanzo tu. #EastAfricaTV
Hawaishi HAO KILA SIKU WANAZALIWAIsrael itawamaliza
Ni swahihi taarifa hizo.Mayahudi yanatakiwa yaboreshe silaha zao ziwe zinabagua magaidi waovu miongoni mwa akina mama na watoto.Kuna kobazi kutoka huku Koromije watadai Mayahudi yanaua wanawake na watoto
Wataibuka wengine kutoka ardhini.Israel itawamaliza
Labda kama Israel wataendelea kutwanga kwa huruma.Hawaishi HAO KILA SIKU WANAZALIWA
Hizo vita haziwezi kuisha Kwa upande mmoja kuishaa.Labda kama Israel wataendelea kutwanga kwa huruma.
Kwa mawazo "yetu"!Hizo vita haziwezi kuisha Kwa upande mmoja kuishaa.
Hutoi pole kwa wajane ,ndugu na familia yake mkuu?Ahsante kwa Taarifa..
#HABARI Waziri Mkuu wa serikali ya Yemen inayoongozwa na Wahouthi na mawaziri wengine kadhaa wameuawa katika shambulio la Israel kwenye mji mkuu Sanaa, mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Houthi amesema jana Jumamosi, likiwa ni shambulio la kwanza la aina hiyo kuua maafisa wakuu.
Wengine kadhaa walijeruhiwa katika shambulio la Alhamisi, Mahdi al-Mashat ameongeza bila kutoa maelezo. Katika taarifa yake ya ijumaa, Israel ilisema kuwa shambulio hilo la anga lilimlenga mkuu wa majeshi wa kundi linalofungamana na Iran, waziri wa ulinzi na maafisa wengine wakuu.
Ahmad Ghaleb al-Rahwi aliteuliwa kuwa waziri mkuu mwaka mmoja uliopita, lakini kiongozi mkuu wa serikali alikuwa naibu wake, Mohammed Miftah, ambaye aliteuliwa Jumamosi kutekeleza majukumu ya waziri mkuu. Rahwi alionekana kwa kiasi kikubwa kama mtu maarufu ambaye hakuwa sehemu ya ndani ya uongozi wa Houthi.
Alikuwa mshirika wa Rais wa zamani wa Yemen Ali Abdullah Saleh, ambaye Wahouthi walimtimua kutoka Sanaa mwishoni mwa 2014 na kusababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa muongo mmoja, lakini baadaye wakaungana na kundi hilo. Yemen imegawanyika kati ya utawala wa Houthi huko Sanaa na serikali inayoungwa mkono na Saudia huko Aden tangu wakati huo.
Tangu vita vya Israel huko Gaza dhidi ya kundi la wanamgambo wa Palestina Hamas kuanza Oktoba 2023, Wahouthi wanaoungwa mkono na Iran wameshambulia meli katika Bahari Nyekundu kwa kile wanachoeleza kuwa ni vitendo vya mshikamano na Wapalestina.
Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz alisema jana Jumamosi kwamba shambulio hilo lilikuwa ni"pigo kubwa" dhidi ya WaHouth, akiongeza kuwa huu ni mwanzo tu. #EastAfricaTV
Wayahudi hawajui maana ya neno pea
Hawaishi HAO KILA SIKU WANAZALIWA
Inabidi hao viongozi wawe wanavaa madela kabisa ili wakiuwawa taarifa iendelee kusomeka ni akina mama wameuliwa na Mayahudi 😅Ni swahihi taarifa hizo.Mayahudi yanatakiwa yaboreshe silaha zao ziwe zinabagua magaidi waovu miongoni mwa akina mama na watoto.
Si kweli.Mayahudi yameanza "polopaganda" zao.Mtu imara kama yule hauwawi kizembe.