Israel yamuua Waziri mkuu wa Yemen

Kisasi ni haki. Houthi waangalie ni namna gani wanaweza kupiga pale knesset Netanyahu akiwa ndani.
 
Tunaapa kwa Mungu, na kwa wapendwa watu wa Yemen, kwa familia za walijitoa mhanga pamoja na majeruhi, tutalipa kisasi, na tutageuza majeraha kuwa ushindi.

Mahdi al-Mashat, Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya Siasa ya Wahouthi, amesema kwa njia ya video.
 
Ajiandae.DNA yake imesomwa kwenye hiyo fidiu yake.
 
Ajiandae.DNA yake imesomwa kwenye hiyo fidiu yake.

Na DNA za Wapalestina wanaoshikilia mateka wa Israel na kuwaonyeha kwenye TV kila siku DNA zao hazijasomwa ?

Wako Gaza Strip, padogo, SQ Meter 365. Kwa Tanzania huo ni mtaa, yani ikifika kama mitaa 10 ndo inakuwa kata moja, tuseme Mbagala labda, SQ Meter 2,500. Gaza Strip zipo kumi Mbagala. Gaza Strip ni mtaa mmoja!

Miaka miwili sasa. Mbona wasitume makomandoo wa Mossad na IDF waende kusaka hizo DNA za wanamgambo wa Palestina?
 
Waulize.Wakikabidhi mateka tu huwa wanaishia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…