Israel yanunua Ndege 6 za kujaza mafuta angani (Tanker)

Israel yanunua Ndege 6 za kujaza mafuta angani (Tanker)

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Tanker ya kwanza kati ya sita za ndege za mafuta za KC-46A Pegasus zilizoagizwa na Israeli, zilizopewa jina la Gideon na Jeshi la Anga la Israeli na zinazotarajiwa kuchukua nafasi ya Tanker zake za zamani za Boeing 707, ziliwasili leo katika Kituo cha Anga cha Nevatim katika Jangwa la Negev Kusini mwa Israeli kutoka Marekani.

Alivyo mjinga Bumunda zitto junior ataanza kuwasumbua JamiiCheck

Sasa Magaidi wa Iran na Houth wakae mkao wa kupigika!!!

 
Halafu zitapaki wapi ,Tel aviv yote ipo under target.
 
😃😂😄😀😆😢😁😅🤣😊🤪😀😆😢😢
 
Back
Top Bottom