HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Katika hali isiyo ya kawaida, jeshi la Israel limeanza kufatilia na kutawala anga lote la Lebanon na kupiga marufuku ndege zote za kijeshi kutua Lebanon.
Mamlaka ya Anga ya Lebanon imekubaliana na Israel na imefuata matakwa ya Israel.
Israel imesema yeyote atayeleta ndege itazuiwa au kulipuliwa.
Mbabe kaonekana hapo ME
Mamlaka ya Anga ya Lebanon imekubaliana na Israel na imefuata matakwa ya Israel.
Israel imesema yeyote atayeleta ndege itazuiwa au kulipuliwa.
Mbabe kaonekana hapo ME