🤣🤣🤣🤣🤣🤣👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🤝🤝🤝😂🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🥰🥰🥰🥰🥰✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️Siku njema sana kwangu 😂😂😂😂😂Piga hao Magaidi
Hili swali la kipumbafu sana, huwez kumjibu mmeo jibu kama hili akuache salama..Mwili ni wangu. Unanipangia jinsi ya kuutumia??
Kama hujielewi lazima tukupangieMwili ni wangu. Unanipangia jinsi ya kuutumia??
Mshangazi hiyo kauli itakuponza kwa mbaba p DidyMwili ni wangu. Unanipangia jinsi ya kuutumia??
Waliwahi kufanya hivyo, na sasa kuanzia bahari, anga na land border vyote vitakuwa chini ya uangalizi waoISRAEL WAMEKOSEA,
WALITAKIWA WAPIGE MARUFUKU KWA CHOMBO CHOCHOTE KUINGIA NA KUTOKA LEBANONI KIWE CHA ARDHINI AU ANGANI.
IWE NDEGE AU HELKOPITA ZOTE ZITUNGULIWE
Mamaeh nenda kapitishe huo mwili wako basi kama haturtaokota vipandevya nyama zakoMwili ni wangu. Unanipangia jinsi ya kuutumia??
Lebanon haya mambo mabaya wameyataka wao wenyewe kwa kitendo chao cha kuwachokoza wa-Israel.Katika hali isiyo ya kawaida, jeshi la Israel limeanza kufatilia na kutawala anga lote la Lebanon na kupiga marufuku ndege zote za kijeshi kutua Lebanon.
Mamlaka ya Anga ya Lebanon imekubaliana na Israel na imefuata matakwa ya Israel.
Israel imesema yeyote atayeleta ndege itazuiwa au kulipuliwa.
Mbabe kaonekana hapo ME
Kwisha habari yaoPiga hao Magaidi
Lebanon kuna Wakiristu, Wasunni na Washia.
Hizbollah ni washia, inaelekea Israel inapata intelijensia ya hali ya juu kuhusiana na nyendo za Hizbollah kutoka kwa makundi hasimu.
Ni wako ila huwez kufanyia chochotee ...Israel kashasemaMwili ni wangu. Unanipangia jinsi ya kuutumia??