Israel yapiga marufuku ndege za kijeshi kutua Lebanon

Lete chanzo cha taarifa sio unaleta maneno matupu.
Lebanon ina mamlaka yake ya anga haiwezi kuisikiliza Israel.
Wakati mwingine msiongee kama mmeshiba makande.
 
Eeehehh ndio kusema tayari Israel inatawala Lebanon, ndio maana yake
 
Lete chanzo cha taarifa sio unaleta maneno matupu.
Lebanon ina mamlaka yake ya anga haiwezi kuisikiliza Israel.
Wakati mwingine msiongee kama mmeshiba makande.
Hii taarifa imetangazwa na mtangazaji wa aljzeeera tena akionesha picha za uwanja wa ndege Beirut ulio jirani kabisa na bahari
Na mda mfupi ndege ya Iran ilirejea Tehran
Mambo ni moto!
Sema baadhi ya walebanoni wameipongeza Israel kwani hawajataka kuleta uharibifu kama ule wa Gaza ni mwendo wa ku deal na wale wakubwa kubwa wao
 
Lete chanzo cha taarifa sio unaleta maneno matupu.
Lebanon ina mamlaka yake ya anga haiwezi kuisikiliza Israel.
Wakati mwingine msiongee kama mmeshiba makande.
Sasa wewe uko mbali hivi na fake Id yako
Unapaniki na kuchangakiwa kiasi

Ungekuwa karibu na Israel si ndo ungejiua mwenyewe bila kujua
 
Lete chanzo cha taarifa sio unaleta maneno matupu.
Lebanon ina mamlaka yake ya anga haiwezi kuisikiliza Israel.
Wakati mwingine msiongee kama mmeshiba makande.
Kweli wewe kima!
 
Sikujua kama Hezbollah ni makima kiasi hiki
 
Kwa miaka mingi anga ya Lebanon imekuwa ni free space ya Israel kuishambulia Iran ndani ya Syria.
 
Mmh inavutia kusikia🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…