Israel yapiga marufuku ndege za kijeshi kutua Lebanon

Ile ndege ya abiria na kilichotokea ni Israel ku hack mfumo wa mawasiliano wa anga.
 
Huko Leba mambo ni moto!
Jamaa sasa hivi wanaingilia mifumo yote hadi ya utawala.
Usishangae taarifa ikatoka juu hapo Lebanon ya utata kumbe IDF wamesha hack mifumo.
Kiufupi kila eneo jamaa wame hack.
 
Jamaa sasa hivi wanaingilia mifumo yote hadi ya utawala.
Usishangae taarifa ikatoka juu hapo Lebanon ya utata kumbe IDF wamesha hack mifumo.
Kiufupi kila eneo jamaa wame hack.
Asa hapo maana yake hakuna tena nchi isipokuwa Lebanon imeshakuwa Jimbo la Israel kama ilivyo tel Aviv
Maana mifumo ya mawasiliano ndio nchi naona Lebanon inapigwa kwa science zaidi ila Gaza ilikuwa ni mabomu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…