Israel yasema italipua ghala na kiwanda cha Drone za Hezbollah leo - Raia waanza kuhama eneo husika

Israel yasema italipua ghala na kiwanda cha Drone za Hezbollah leo - Raia waanza kuhama eneo husika

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
16,378
Reaction score
13,198
Jeshi la Israel lilidai siku ya Alhamisi kuwa “maandalizi yanaendelea kwa ajili ya kushambulia miundombinu kadhaa ya chini ya ardhi inayotumika kutengeneza ndege zisizo na rubani (UAVs) ambayo imeanzishwa” katika maeneo ya kusini mwa mji wa Beirut.

Likitaja makubaliano kati ya Israel na Lebanon, jeshi hilo lilidai kuwa limebaini kuwa kitengo cha anga cha Hezbollah (127) “kinafanya kazi ya kuzalisha maelfu ya ndege zisizo na rubani (UAVs) kwa maelekezo na ufadhili wa wahusika kutoka Iran.”

Jeshi hilo pia liliongeza kuwa “shughuli hii ni ukiukaji wa wazi wa makubaliano kati ya Israel na Lebanon.”
========================
The Israeli army claimed on Thursday that "preparations are underway to attack several underground infrastructures for the production of UAVs that were established" in Beirut's southern suburbs.

"Despite the understanding between Israel and Lebanon," the army alleged that it had identified that Hezbollah's air unit (127) "is working to produce many thousands of UAVs under the direction and funding of Iranian elements."

It also noted that "this activity constitutes a blatant violation of the understandings between Israel and Lebanon."

Israel issues evacuation warning for residents of Hadath, Haret Hreik, and Borj El Brajneh in Beirut's southern suburbs

1749149557882.png

Israeli army spokesperson Avichay Adraee issued an urgent evacuation warning on Thursday to residents of Beirut's southern suburbs, specifically in the Hadath, Haret Hreik, and Borj El Brajneh areas.

According to the statement, those in buildings marked in red on issued maps, as well as nearby structures, were warned that they are in proximity to "Hezbollah facilities."

"For your safety and the safety of your families, you must evacuate these buildings immediately and move at least 300 meters away, as indicated on the map," the warning stated.

افيخاي ادرعي

@AvichayAdraee

#عاجل
‼️
إنذار عاجل للمتواجدين في الضاحية الجنوبية في بيروت وخاصة في الاحياء التالية: الحدث، حارة حريك، برج البراجنة في المباني المحددة بالأحمر وفق ما يُعرض في الخرائط المرفقة والمباني المجاورة لها
🔸
أنتم تتواجدون بالقرب من منشآت تابعة لحزب الله الارهابي
🔸
من أجل سلامتكم وسلامة أبناء عائلاتكم أنتم مضطرون لإخلاء هذه المباني فوراً والابتعاد عنها لمسافة لا تقل عن 300 متر
Translate post

Image

Image

Image

Image

8:38 PM · Jun 5, 2025
·
323.5K
Views

Israeli media: Strike on Beirut's southern suburbs will be 'largest' since ceasefire
1749149848156.png
 
Am sure serikali ya Lebanon inafanya juu chini maeneo yote Hezbollh anayokataa kuyasalimisha kwa Serikali wanamtonya tu Netanyahu and Netanyahu ni matter ya masaa kadhaa tu anatoa worning then kazi anamaliza.

Serikali ya Lebanon tayari ishazuga kuwa imejaribu kuwazuia Israel lakini Israel wamekataa.
 
Hakuna chochote basi tu roho mbaya hapendi watu washerehekea sikukuu na amekutana na jeshi la Lebanon zumbukuku hewala mzee, huku Hezbollah akiwaambia alijifanya wajuaji. Jeshi linakosa hata air defense? Au hata jet za kuzuia shambulio? Jeshi limekua pupet wajinga?
*************************************

🇮🇱❌🇱🇧 — Anti Hezbollah saudi media outlet Al-Jadeed correspondent confirms there were no secondary explosions:
We are watching all these raids. Up until this moment, we have not seen any secondary explosions after the raids, which proves that the targets were civilian buildings and that there are no weapons warehouses or factories.
 
Hili nalo ni possibility kubwa
 
Jeshi kukosa air defence or jets its down to budget yake na vipao mbele vya nchi.
Kama uchumi ni mdogo how they can afford and run those thing?

Si rahis kama unavyodhani, lakin pia serikal naheezbollah wako in the same page? Kama wana tofauti serikal inaweza tumia huo mwanya ku leak position za hezbollah kwa israel
 
Serikali raisi huyo mpya ndio haieleweki baada yake kumekuwa na chokochoko nyingi kwa Hezbollah mpaka imeleta shida kwa serikali na wananchi, Hezbollah wamemuachia yeye ailinde Lebanon lakini wao wabaki na position Yao, na silaha zao wabaki nazo lakini silaha hawataachia kwasababu wanaamini jeshi la Lebanon haliko imara kupigana na Israel. Kinachofanywa na Israel saivi ni kuchokoza ugomvi vita vilipuke upya kwakua ashaelewa Hezbollah ni threat kwake akiachwa hivi hivi bila kunyanganywa silaha
 
Jeshi kukosa air defence or jets its down to budget yake na vipao mbele vya nchi.
Kama uchumi ni mdogo how they can afford and run those thing?

Si rahis kama unavyodhani, lakin pia serikal naheezbollah wako in the same page? Kama wana tofauti serikal inaweza tumia huo mwanya ku leak position za hezbollah kwa israel
siku zote magaidi wanatumia raia kama wanawake na watoto ,hospitali,shule kama air defence system
 
Back
Top Bottom