Israel yashambulia Lebanon kwa ndege za kivita na makombora. Maghala ya silaha na vituo vya kurushia roketi zaidi ya 100 zalipuliwa

Hii ni mwanzo, Arabs/Muslim wote, lazima, tuwapeleke zama za, mawe
 
Japo ni ndefu nimeisoma kwa points. Hapa naona Israel anataka vita na sio operations. Hezbollah walishamshinda kitambo, hamars bado hajawapunguza. Nia ni iran aingie ili Marekani nae aingie vitani. Hakuna jingine
Mkuu, kweli kisago kama hicho, unategemea huyo Iran atatia mguu! Hajitaki nini.
 
Sorry,ivi huko Lebanon hakuna askari wetu wakulinda amani wa UN?!!
 
Ukichunguza vema Israel anataget watu muhimu hasa makamanda...na miundombinu muhimu.....hesbollah hawafanyi hivyo
 
Akipiga hutoa takwimu za kujimwambafy,akipigwa ooh wamepiga vichakani,hakuna askari alouawa,wamejeruhiwa wawili,sasa hivi anavutia waafrika wakajiunge na jeshi lake,sijui wanajeshi wake wameenda wapi!?
Nje ya kutaja viongozi aliowaua, Israel huongea kidogo sana kuhusu mashambulizi yake, hata hizo paggers zilizolipuka hajasema chochote.
 
Ukichunguza vema Israel anataget watu muhimu hasa makamanda...na miundombinu muhimu.....hesbollah hawafanyi hivyo
Na ni dhaihiri IDF wanajua vilivyo walipo hao viongozi wao ila wanapiga pale wanapoona Kuna threat hata hao wanamgambo wa Hizbullah mbali na viongozi wao sio kwamba IDF wakiwaona wanawatandika tu hapana bali wakigundua Fulani ndio karusha missiles na drones ndio wapata sababu ya kuwatandika.
 
Watu wa Lebanon hawastahili kabisa kufanyiwa hivi..haya yote msababishaji mkubwa ni Iran..ifike mahala watu waangalie chanzo Cha tatizo na si kuishutumu Israel kila kukicha. Ingekuwa vyema sana endapo Serikali ya Lebanon ingewafurusha hawa Hizbullah waende huko Iran na si kuendelea kuwa chanzo Cha maafa..
Hatutaki umwagaji damu uendelee just like what is happening in Gaza..
Ayatollah Khomeini is a blood thirsty beast, he doesn't care about others,all he cares is to see his goal achieved whether the road to achievements involves a bloodshed, that's not his concern.
 
Hawa wavaa makobazi wanafikiri wataipiga Israeli?? ABDEL NASSER NA ANWAR SADDAT walishindwa
 
Unaongelea issue hii katika Islamic perpective ya ushindi ila kwa ujumla Israel amewaneutralize smatly hawa ndugu zako katika Imani.Kila kuchwao wanapoteza figures muhimu na kwa sasa hata zile tambo zao zimekwisha kabisa.
Myahudi akitoka Lebanon kituo ni Yemen then Iran.
Majamaa yanatoa darsa zuri sana ya namna ya kudeal na magaidi ya Kiislam
Japo ni ndefu nimeisoma kwa points. Hapa naona Israel anataka vita na sio operations. Hezbollah walishamshinda kitambo, hamars bado hajawapunguza. Nia ni iran aingie ili Marekani nae aingie vitani. Hakuna jingine
 
Kama hii habari itakuwa ya kweli basi kazi ipo IDF wameamua kumleta Iran mazima katika vita ya Gaza
Mkuu
Mkuu umenena vyema kabisa.
 
Kuna wakati iran walilalamikia kuibiwa mawingu
 
Kuna wakati iran walilalamikia kuibiwa mawingu
Mkuu, hii ilinikumbusha - Mh. Marehemu Waziri Mkuu Lowasa lipo kwenda Nchi za Mashariki ya Mbali kupata elimu ya kutengeneza MVUA. Kwa hili nameona alikuwa sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…