Sasa itakuwaje yale magaidi uchwara ya humu jamii forum?Yeyote anawaza na kutenda uhuni dhidi ya Israel ajiandae. Hata kama ni huku kusini mwa jangwa la Sahara. Nasema Yeyote
Hao Druze ni kisingizio,mwezi uliopita hiyo jamii ya Druze ilizungumza na kuweka wazi kuwa hawataki msaada kwa Israel na hawataki mafungamano nao.Habari za muda huu ni kuwa Israel inashambulia Ikulu na Makao Makuu ya jeshi la Syria baada ya Majeshi ya Syria kuua watu wa jamii ya Druze.
View attachment 3408082
View attachment 3408083
View attachment 3408084
Baraza la Ushirikiano wa Ghuba (GCC) limeilaani kwa “maneno makali zaidi” mashambulizi ya Israel dhidi ya Damascus, huku mashambulizi yakilenga wizara ya ulinzi na ikulu ya rais.
Katika taarifa yake, Katibu Mkuu wa GCC, Jasem Mohamed Albudaiwi, alisema mashambulizi hayo ni “ukiukaji wa wazi” wa mamlaka ya Syria, “ukiukaji wa sheria na kanuni za kimataifa, na tishio kubwa kwa usalama na utulivu wa eneo hilo.”
Albudaiwi aliongeza kuwa kuendelea kwa mashambulizi haya ya mara kwa mara ya Israel ni “escalation isiyo ya kuwajibika”, ikipuuzia juhudi za kimataifa za kufanikisha utulivu nchini Syria na katika eneo lote, na akasisitiza tena kwamba GCC inaunga mkono uhuru na mamlaka ya Syria.
Katibu Mkuu alitoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchukua jukumu la kusitisha “ukiukaji huu mkubwa”, kuwawajibisha wahusika, na kufanya kazi kwa bidii kuwalinda watu wa Syria na kulinda mamlaka yake kwa mujibu wa kanuni za Katiba ya Umoja wa Mataifa na sheria za kimataifa.
===
The Gulf Cooperation Council (GCC) condemned Israel’s attacks on Damascus in the “strongest terms” as strikes target the defence ministry and presidential palace.
In a statement, Secretary General of the GCC, Jasem Mohamed Albudaiwi, said the attacks represented a “flagrant violation” of Syria’s sovereignty, “a breach of international laws and norms, and a serious threat to regional security and stability.”
Albudaiwi added that the continuation of these repeated Israeli attacks had constituted an “irresponsible escalation”, disregarding international efforts to achieve stability in Syria and the region and reiterated the GCC’s support for Syria’s territorial integrity.
The Secretary-General called on the international community to take responsibility in stopping these “serious violations, hold the perpetrators accountable, and work diligently to protect the Syrian peopleand preserve its sovereignty in accordance with the principles of the United Nations Charter and international law”
Source Aljazeera, July 15 - 2025
Akili huna wewe,hiyo serikali ya Syria mpya iliyoingia si ndio Israel na USA waliisifia kuwa ni serikali rafiki!?Yeyote anawaza na kutenda uhuni dhidi ya Israel ajiandae. Hata kama ni huku kusini mwa jangwa la Sahara. Nasema Yeyote
Huyo Al Jolani walimpa support kumtoa Assad ili waweze kui control Syria. Trump alishamkataza asipige huko ndani ya Syria. Walisahau kuwa walishamuwekea dau 10m USD akiwa member wa Al Qaeda, jasiri haachi asiliAkili huna wewe,hiyo serikali ya Syria mpya iliyoingia si ndio Israel na USA waliisifia kuwa ni serikali rafiki!?
Na huyo kiongozi mpya si puppet wa USA?
Ameiwazia lini mabaya hiyo Israel!?
Nyie waislam ni watu wajinga na wapuuzi sana... Syria inatawaliwa na Wasunni wa Itikadi kali.Hao Druze ni kisingizio,mwezi uliopita hiyo jamii ya Druze ilizungumza na kuweka wazi kuwa hawataki msaada kwa Israel na hawataki mafungamano nao.
Israel ni mshenzi tu na anaendelea kufanya ushenzi wake kama kawaida.
Watakoma kwa kumuondoa Assad Syria watachezewa hadi makalioni.
Nyie ni Wajinga sana, Wasunni wa Syria ndio wameanzisha hao Wadruze ndio wameomba msamada kuanzia Marekani hadi Saudi ArabiaIsrael anaanzisha ugomvi kila mahali,huenda mwisho umefika
Nimeshangaa kuona hii habar,maana baada ya wapiganaj kuchukua nchi walisema hawatak tena kupigana na yeyote akiwemo na israelHao Druze ni kisingizio,mwezi uliopita hiyo jamii ya Druze ilizungumza na kuweka wazi kuwa hawataki msaada kwa Israel na hawataki mafungamano nao.
Israel ni mshenzi tu na anaendelea kufanya ushenzi wake kama kawaida.
Watakoma kwa kumuondoa Assad Syria watachezewa hadi makalioni.
Kwani ni shambulio la kwanza la Israel ndani ya Syria!?..tangu aondoke Assad wamefanya mashambulizi mangapi?!..juzi uturuki waneonya Israel inataka kumuua kiongozi wa Syria,Leo Israel imeshambulia ikulu na wizara ya ulinzi,ukiacha ardhi ya Syria waliyojitwalia juziNyie ni Wajinga sana, Wasunni wa Syria ndio wameanzisha hao Wadruze ndio wameomba msamada kuanzia Marekani hadi Saudi Arabia
Kwa hiyo majeshi ya Syria yalikuwa yanapeleka chai kwa hao Druze?Hao Druze ni kisingizio,mwezi uliopita hiyo jamii ya Druze ilizungumza na kuweka wazi kuwa hawataki msaada kwa Israel na hawataki mafungamano nao.
Israel ni mshenzi tu na anaendelea kufanya ushenzi wake kama kawaida.
Watakoma kwa kumuondoa Assad Syria watachezewa hadi makalioni.
Sipo upande wa Israel, ila mamlaka ya Syria imekosea sana badala ya kutuliza mapigano ya vikundi vya wananchi wake yenyewe imeamua kuchagua upande
Druze wapo mpaka Israel, Tel Aviv inajidai kutumia hiyo sababu kama Rwanda dhidi ya DRC, kumaanisha kwamba inawatetea Wadruze wa Syria ili Wadruze waliopo Israel wasiwe na malalamiko dhidi ya serikali yao
Lakini hiyo ni sababu ndogo mnooo, sababu kubwa hapa baada ya kuchukua Golan linatafutwa eneo lingine ndani ya Syria
Mamlaka ya Syria ni wapuuzi wanaipa Israel sababu ya kuivamia