Israel yashambulia maeneo ya karibu na Ikulu ya Syria

Israel yashambulia maeneo ya karibu na Ikulu ya Syria

Israel hata usipowapa sababu wanaitafuta wenyewe.
As long as Jamaa wapo hapo middle east basi waarabu kazi wanayo.
Waarabu watachokozwa, wakiresist wataitwa magaidi.
Wakijifanya kuwa watu wa amani sana, Yahudi atasema haamini kama watakuwa na amani. Kiufupi Yahudi ni mvurugaji tu
Ni kweli Yahudi anajulikana siku zote ni mvurugaji, mimi nawashangaa hawa watawala wa Syria kuchangua upande kwenye mapigano ya raia wake badala ya kutuliza mapigano
 
Hao Druze ni kisingizio,mwezi uliopita hiyo jamii ya Druze ilizungumza na kuweka wazi kuwa hawataki msaada kwa Israel na hawataki mafungamano nao.
Israel ni mshenzi tu na anaendelea kufanya ushenzi wake kama kawaida.
Watakoma kwa kumuondoa Assad Syria watachezewa hadi makalioni.
Wanataka kuwatumia kama vibaraka jamaa wamekataa.
 
Nyie ni Wajinga sana, Wasunni wa Syria ndio wameanzisha hao Wadruze ndio wameomba msamada kuanzia Marekani hadi Saudi Arabia
Wewe mpuuzi narudia tena wewe mpuuzi sisi sio watoto.
Hapa nimetoka kutizama Aljazeera kiongozi wa Druze anasema Israel inaleta machafuko na sababu za kivita ilhali wao hawajaomba msaada wowote kwao.
Druze wamesema hawana mafungamano yeyote na Israel na kama Kuna matatizo watayamaliza na serikali yao wao wenyewe.
Sisi sio watoto wewe.
 
Nyie waislam ni watu wajinga na wapuuzi sana... Syria inatawaliwa na Wasunni wa Itikadi kali.

Hata Uislamu wako kwa hao Waislamu wanaongoza Syria wanakuona Kafir, huwezi ukaamka eti unaenda kuua mtu kisa Sio muislamu.. Al-Jazeera wala televisheni za Waarabu hakuna hata moja iliyosema stoo Druze masacre or kukemea mauaji... another thing Serikali ya Syria imefeli hadi sasa kuchukua Silaha za makundi yote na kibaya sana haichukui Silaha za Makundi ya Wasunni wanahangaika na hawa wachache
Msenge wewe usinifanye mie mtoto.
Hao Druze nimetoka kuwatizama sasa hivi hapa wakikemea alichofanya Israel.
Na miezi miwili iliyopita nilitizama hadi CGTN kiongozi wa Druze aliongea wazi kuwa hawana machafuko Wala mapigano na Wala hawataki mafungamano na Israel kama ikitokea Kuna mfarakano watautatua na serikali yao ya sasa hivi.
Usitudanganye aisee sisi watu wazima kenge maji.
 
Wanataka kuwatumia kama vibaraka jamaa wamekataa.
Hiyo jamii iliongea kupitia kiongozi wao katu katu ikikataa kujihusisha na Israel.
Na jioni hii kiongozi wao amezungumza kuwa Israel inapaswa isukumwe nje na Syria maana inasababisha amani kuwa Tete.
Halafu Kuna kuku maji one anakuja kutudanganya hapa sijui anatuchukulia sisi hatutizami habari!?
 
Lebanon
Syria
Gaza
Iran
Yemen
Hivi hawa hawachoki vita? Ni survival, Faith, utamaduni au ni nini?
Trust me bro Israel ndio saratani ya amani hapo.
Tuanzie nyuma 1958 Israel ndiye aliyesababisha Lebanon crisis kwa kuchochea vita za kidini zilizochochewa kisiasa zaidi baina ya walebanon.
Israel akibaki kuwa na nguvu kamwe hapo mid east hapatakua na amani.
Mfano mwingine thabiti,alipotoka Assad Israel na USA walisema wamemkubali kiongozi wa sasa na wataifanya Syria kuwa nchi rafiki,hakukutulia hata siku Israel imeenda kulipua maghala ya silaha ya serikali ,airbase na kambi baadhi za serikali ya Syria.
Sasa jiulize hayo yote yanakujaje?
Si mmeiamini hiyo serikali?
Kwanini mna breach sovereignty yake?
Israel ni saratani ya amani.
 
Huwa nawakubali sana IDF ila Kwa mashambulizi dhidi ya utawala huu wa Syria sihafiki.
 
Habari za muda huu ni kuwa Israel inashambulia Ikulu na Makao Makuu ya jeshi la Syria baada ya Majeshi ya Syria kuua watu wa jamii ya Druze.
View attachment 3408082
View attachment 3408083
View attachment 3408084
Baraza la Ushirikiano wa Ghuba (GCC) limeilaani kwa “maneno makali zaidi” mashambulizi ya Israel dhidi ya Damascus, huku mashambulizi yakilenga wizara ya ulinzi na ikulu ya rais.

Katika taarifa yake, Katibu Mkuu wa GCC, Jasem Mohamed Albudaiwi, alisema mashambulizi hayo ni “ukiukaji wa wazi” wa mamlaka ya Syria, “ukiukaji wa sheria na kanuni za kimataifa, na tishio kubwa kwa usalama na utulivu wa eneo hilo.”

Albudaiwi aliongeza kuwa kuendelea kwa mashambulizi haya ya mara kwa mara ya Israel ni “escalation isiyo ya kuwajibika”, ikipuuzia juhudi za kimataifa za kufanikisha utulivu nchini Syria na katika eneo lote, na akasisitiza tena kwamba GCC inaunga mkono uhuru na mamlaka ya Syria.

Katibu Mkuu alitoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchukua jukumu la kusitisha “ukiukaji huu mkubwa”, kuwawajibisha wahusika, na kufanya kazi kwa bidii kuwalinda watu wa Syria na kulinda mamlaka yake kwa mujibu wa kanuni za Katiba ya Umoja wa Mataifa na sheria za kimataifa.

===

The Gulf Cooperation Council (GCC) condemned Israel’s attacks on Damascus in the “strongest terms” as strikes target the defence ministry and presidential palace.

In a statement, Secretary General of the GCC, Jasem Mohamed Albudaiwi, said the attacks represented a “flagrant violation” of Syria’s sovereignty, “a breach of international laws and norms, and a serious threat to regional security and stability.”

Albudaiwi added that the continuation of these repeated Israeli attacks had constituted an “irresponsible escalation”, disregarding international efforts to achieve stability in Syria and the region and reiterated the GCC’s support for Syria’s territorial integrity.

The Secretary-General called on the international community to take responsibility in stopping these “serious violations, hold the perpetrators accountable, and work diligently to protect the Syrian peopleand preserve its sovereignty in accordance with the principles of the United Nations Charter and international law”

Source Aljazeera, July 15 - 2025
Hiyo ndio ISRAEL tunayoitaka ukisimama moto ukikaa moto
 
Ufupi tu wa akili. Habari zimejaa tele watu wanashindwa hata kudadavua vitu rahisi kabisa. Wanahemkwa na chuki na mapenzi ya dini na jamii za watu.
 
Lebanon
Syria
Gaza
Iran
Yemen
Hivi hawa hawachoki vita? Ni survival, Faith, utamaduni au ni nini?
Power Hegemony to call the shots. Kuna kitu enzi za Bush waliita Axis of Evil an ndiyo humo wanapita kubomoa nchi zote zenye nguvu.
Syria ishakua failed state na hapo
Netanyahu, Erdogan, na Trump wanataka Syria iwe destroyed, weakened na divided kwenye ethnic/tribal/religious lines (Druze, Alawites, Kurds, Turkmen Bedouins, Sunnis, Shia Arab tribes) with the aim of annexing Syrian territory na kuiba mafuta kama walivyofanya Libya na Iraq
Na hapo hawachoka mpaka wapite Pakistan, Turkiye na Jordan na Saudi Arabia
 
Nimeona video Aljazeera inatisha.
Kwa nini Hamas, Iran, Syria na Yemen wasiungane wafumue Israel ibaki majivu tu
 
Back
Top Bottom