Israel yashambulia maeneo ya karibu na Ikulu ya Syria

Ni kweli Yahudi anajulikana siku zote ni mvurugaji, mimi nawashangaa hawa watawala wa Syria kuchangua upande kwenye mapigano ya raia wake badala ya kutuliza mapigano
 
Wanataka kuwatumia kama vibaraka jamaa wamekataa.
 
Nyie ni Wajinga sana, Wasunni wa Syria ndio wameanzisha hao Wadruze ndio wameomba msamada kuanzia Marekani hadi Saudi Arabia
Wewe mpuuzi narudia tena wewe mpuuzi sisi sio watoto.
Hapa nimetoka kutizama Aljazeera kiongozi wa Druze anasema Israel inaleta machafuko na sababu za kivita ilhali wao hawajaomba msaada wowote kwao.
Druze wamesema hawana mafungamano yeyote na Israel na kama Kuna matatizo watayamaliza na serikali yao wao wenyewe.
Sisi sio watoto wewe.
 
Msenge wewe usinifanye mie mtoto.
Hao Druze nimetoka kuwatizama sasa hivi hapa wakikemea alichofanya Israel.
Na miezi miwili iliyopita nilitizama hadi CGTN kiongozi wa Druze aliongea wazi kuwa hawana machafuko Wala mapigano na Wala hawataki mafungamano na Israel kama ikitokea Kuna mfarakano watautatua na serikali yao ya sasa hivi.
Usitudanganye aisee sisi watu wazima kenge maji.
 
Wanataka kuwatumia kama vibaraka jamaa wamekataa.
Hiyo jamii iliongea kupitia kiongozi wao katu katu ikikataa kujihusisha na Israel.
Na jioni hii kiongozi wao amezungumza kuwa Israel inapaswa isukumwe nje na Syria maana inasababisha amani kuwa Tete.
Halafu Kuna kuku maji one anakuja kutudanganya hapa sijui anatuchukulia sisi hatutizami habari!?
 
Lebanon
Syria
Gaza
Iran
Yemen
Hivi hawa hawachoki vita? Ni survival, Faith, utamaduni au ni nini?
Trust me bro Israel ndio saratani ya amani hapo.
Tuanzie nyuma 1958 Israel ndiye aliyesababisha Lebanon crisis kwa kuchochea vita za kidini zilizochochewa kisiasa zaidi baina ya walebanon.
Israel akibaki kuwa na nguvu kamwe hapo mid east hapatakua na amani.
Mfano mwingine thabiti,alipotoka Assad Israel na USA walisema wamemkubali kiongozi wa sasa na wataifanya Syria kuwa nchi rafiki,hakukutulia hata siku Israel imeenda kulipua maghala ya silaha ya serikali ,airbase na kambi baadhi za serikali ya Syria.
Sasa jiulize hayo yote yanakujaje?
Si mmeiamini hiyo serikali?
Kwanini mna breach sovereignty yake?
Israel ni saratani ya amani.
 
Huwa nawakubali sana IDF ila Kwa mashambulizi dhidi ya utawala huu wa Syria sihafiki.
 
Hiyo ndio ISRAEL tunayoitaka ukisimama moto ukikaa moto
 
Ufupi tu wa akili. Habari zimejaa tele watu wanashindwa hata kudadavua vitu rahisi kabisa. Wanahemkwa na chuki na mapenzi ya dini na jamii za watu.
 
Lebanon
Syria
Gaza
Iran
Yemen
Hivi hawa hawachoki vita? Ni survival, Faith, utamaduni au ni nini?
Power Hegemony to call the shots. Kuna kitu enzi za Bush waliita Axis of Evil an ndiyo humo wanapita kubomoa nchi zote zenye nguvu.
Syria ishakua failed state na hapo
Netanyahu, Erdogan, na Trump wanataka Syria iwe destroyed, weakened na divided kwenye ethnic/tribal/religious lines (Druze, Alawites, Kurds, Turkmen Bedouins, Sunnis, Shia Arab tribes) with the aim of annexing Syrian territory na kuiba mafuta kama walivyofanya Libya na Iraq
Na hapo hawachoka mpaka wapite Pakistan, Turkiye na Jordan na Saudi Arabia
 
Nimeona video Aljazeera inatisha.
Kwa nini Hamas, Iran, Syria na Yemen wasiungane wafumue Israel ibaki majivu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…