Msiba huo, ina maana yas zao zinaweza kutinduliwa?Hao Druze ni kisingizio,mwezi uliopita hiyo jamii ya Druze ilizungumza na kuweka wazi kuwa hawataki msaada kwa Israel na hawataki mafungamano nao.
Israel ni mshenzi tu na anaendelea kufanya ushenzi wake kama kawaida.
Watakoma kwa kumuondoa Assad Syria watachezewa hadi makalioni.
Israel hataki hamani hata ya mdomo. Huyu jamaa wa Syria namuona kama mtu anayetaka diplomasia hivi so anaweza kukaa chini wakayaongea lakini Israili being IsrailTrust me bro Israel ndio saratani ya amani hapo.
Tuanzie nyuma 1958 Israel ndiye aliyesababisha Lebanon crisis kwa kuchochea vita za kidini zilizochochewa kisiasa zaidi baina ya walebanon.
Israel akibaki kuwa na nguvu kamwe hapo mid east hapatakua na amani.
Mfano mwingine thabiti,alipotoka Assad Israel na USA walisema wamemkubali kiongozi wa sasa na wataifanya Syria kuwa nchi rafiki,hakukutulia hata siku Israel imeenda kulipua maghala ya silaha ya serikali ,airbase na kambi baadhi za serikali ya Syria.
Sasa jiulize hayo yote yanakujaje?
Si mmeiamini hiyo serikali?
Kwanini mna breach sovereignty yake?
Israel ni saratani ya amani.
Israel hataki hamani hata ya mdomo. Huyu jamaa wa Syria namuona kama mtu anayetaka diplomasia hivi so anaweza kukaa chini wakayaongea lakini Israili being Israil
We huoni hata huko Lebanon wanataka Hezbullah asalimishe silaha ili wawachezee Lebanon kama vile Syria.Hao Druze ni kisingizio,mwezi uliopita hiyo jamii ya Druze ilizungumza na kuweka wazi kuwa hawataki msaada kwa Israel na hawataki mafungamano nao.
Israel ni mshenzi tu na anaendelea kufanya ushenzi wake kama kawaida.
Watakoma kwa kumuondoa Assad Syria watachezewa hadi makalioni.
VICHAA waliopo uraiani ni WENGI na wanaumwa mno kulinganisha na waliopo mahospitalini.Hiyo jamii iliongea kupitia kiongozi wao katu katu ikikataa kujihusisha na Israel.
Na jioni hii kiongozi wao amezungumza kuwa Israel inapaswa isukumwe nje na Syria maana inasababisha amani kuwa Tete.
Halafu Kuna kuku maji one anakuja kutudanganya hapa sijui anatuchukulia sisi hatutizami habari!?
Kifo kigumu sana!Utawala wa kizayuni hauwezi kutulia,unatapatapa hadi ukate roho.Israel anaanzisha ugomvi kila mahali,huenda mwisho umefika
We ni boya sana yaani Druze waombe misaada Saudia , pumbav .Nyie ni Wajinga sana, Wasunni wa Syria ndio wameanzisha hao Wadruze ndio wameomba msamada kuanzia Marekani hadi Saudi Arabia
Kuna muda jamaa huwa anachekesha sana kauli zake unaamua kumuacha tu aropoke.We ni boya sana yaani Druze waombe misaada Saudia , pumbav .
Saudi ni Sunni state Kenge wewe
Mbona kiongozi wa wadruze amekataa huu ujinga wa Israel?. Ujinga wa Putini unaupiga vita wakusema anawatetea warusi wanaoonewa huko Donbass na sehemu nyinginezo lkn wa waisrael unauunga mkono. Binadamu wachache sana wanaoishi kwa principle hii dunia.
Wadruze wapi wanaoonewa?. Ya Russia na warusi wa kherson&Donbass wanaoonewa au Warwanda na watusi wa Congo, yamekua ya wadruze na Israel.The Druze number around 1.2 million people, with the majority living in Syria (about 700,000), followed by Lebanon (approximately 300,000), and around 150,000 in Israel.They are an offshoot of Islam but hold beliefs that set them apart: they do not recognize Muhammad as a prophet, and they believe that Al-Hakim bi-Amr Allah was God incarnate who disappeared and will return. Because of these beliefs, many Muslims consider the Druze to be kuffar (unbelievers) who should be eliminated.The Druze faith originated in Egypt but quickly came under threat, forcing its followers to flee and settle in the mountains of Syria, Lebanon, and later Israel. Even today, they face the threat of extinction, as radical groups continue to view them as infidels who must either convert—or be killed.
Kuishi na Waislam ni kazi ngumu sana
Wanafiki ni wengi sana katika kichaka cha demokrasia.Mbona kiongozi wa wadruze amekataa huu ujinga wa Israel?. Ujinga wa Putini unaupiga vita wakusema anawatetea warusi wanaoonewa huko Donbass na sehemu nyinginezo lkn wa waisrael unauunga mkono. Binadamu wachache sana wanaoishi kwa principle hii dunia.
Wadruze hadi Jana wamekataa kuonewa na wamekataa kujihusisha na Israel.Israel imewahi kuwashawishi waDruze wa Syria waikane Syria na badala yake watwae ursia wa Israel, lengo ni kuwa wakifanya hivyo basi automatically Israel inapata legitimavy ya kutwaa eneo lao na kulifanya sehemu ya Israel, lakini WaDruze walikataa. Sasa naona Yahudi analazimisha ugomvi kati ya WaDruze na serikali ya Syria kinguvu ili apate sababu ya kujifanya mkombozi, ahakikishe hakuna majeshi ya Syria huko kwa WaDruze halafu atwae hilo eneo kibabe.
Kenge huwa hasikii hadi damu imtoke masikioni. Yahudi ipo siku kitamkuta cha kumkuta atashangaa!.
Kaka kilaza huyo na ni mtu wa islamaphobia achana naye.Wadruze wapi wanaoonewa?. Ya Russia na warusi wa kherson&Donbass wanaoonewa au Warwanda na watusi wa Congo, yamekua ya wadruze na Israel.
Tuwekee hiyo taarifa hapa nasi tuisomeHao Druze ni kisingizio,mwezi uliopita hiyo jamii ya Druze ilizungumza na kuweka wazi kuwa hawataki msaada kwa Israel na hawataki mafungamano nao.
Israel ni mshenzi tu na anaendelea kufanya ushenzi wake kama kawaida.
Watakoma kwa kumuondoa Assad Syria watachezewa hadi makalioni.