Jeshi la Israel likiendelea na kampeni zake za vita dhidi ya Palestine na HAMAS,imeshambulia na kubomoa Church of Saint Porphyry-Gaza.
Shambulizi hili sio la kwanza dhidi ya makanisa,misikiti,shule na hospital.
Matendo kama haya hutosikia yakilaaniwa kua ni ugaidi ama uhalify,sana sana utasikia Israel ikitetewa kua Taifa la Mungu.
Tazama picha ya kanisa baada ya shambulio na kabla.
Wengi hawafahamu kua Wanaoongoza Israel ni wazayuni na Wazayuni sio wayahudi na Wazayuni wapo against na ukristo na uislamu.