Israel yashambulia na kubomoa kanisa Saint Porphyry-Gaza

Israel yashambulia na kubomoa kanisa Saint Porphyry-Gaza

Jeshi la Israel likiendelea na kampeni zake za vita dhidi ya Palestine na HAMAS,imeshambulia na kubomoa Church of Saint Porphyry-Gaza.

Shambulizi hili sio la kwanza dhidi ya makanisa,misikiti,shule na hospital.

Matendo kama haya hutosikia yakilaaniwa kua ni ugaidi ama uhalify,sana sana utasikia Israel ikitetewa kua Taifa la Mungu.

Tazama picha ya kanisa baada ya shambulio na kabla.View attachment 2846626

View attachment 2846627

Wengi hawafahamu kua Wanaoongoza Israel ni wazayuni na Wazayuni sio wayahudi na Wazayuni wapo against na ukristo na uislamu.
hilo ni eneo la vita, iwe kanisa, iwe mskiti unaweza kukutwa na lolote. sio jambo la ajabu hilo.
 
ISRAEL BOMBED THE CHRISTIAN MONASTERY OF MOTHER THERESA NUNS IN GAZA👍
Safi sana Israel. Hilo kanisa magaidi wameshalinajis. Wateule wamefanya vema.

Hamna huruma kwa magaidi hata wakijificha kanisani.
 
Waambie magaidi wasijifiche maeneo hayo.
Hawabomoi TU hayo majengo ila wanapeleka moto popote pale alipo gaidi
 
Wamepunguzwa sana kutoka 6k mpaka 1k ,israel washenzi sana.

20231219_122147.jpg
 
Jeshi la Israel likiendelea na kampeni zake za vita dhidi ya Palestine na HAMAS,imeshambulia na kubomoa Church of Saint Porphyry-Gaza.

Shambulizi hili sio la kwanza dhidi ya makanisa,misikiti,shule na hospital.

Matendo kama haya hutosikia yakilaaniwa kua ni ugaidi ama uhalify,sana sana utasikia Israel ikitetewa kua Taifa la Mungu.

Tazama picha ya kanisa baada ya shambulio na kabla.View attachment 2846626

View attachment 2846627

Wengi hawafahamu kua Wanaoongoza Israel ni wazayuni na Wazayuni sio wayahudi na Wazayuni wapo against na ukristo na uislamu.
Gaidi akijificha ufunguni kwako utaulizwa ili afikiwe. Kama Hamas walijificha humo wapige tu, kanisa ni jengo. Hekalu la Suleiman pale Israel lilivunjwa ,wewe unaona ajabu kanisa, sijui msikiti. Hujui vita Wewe?
 
"Bwana akamwambia Sauli, angamiza kila kitu kabla hujaitwaa hiyo ardhi kuwa Mali yenu. Angamiza wake kwa waume, watoto wao, mifugo yao, nyumba zao na chochote Chenye uhai kilichopo juu ya ardhi hiyo."

Sasa unashangaa jengo kupigwa? Kwenye hiyo ardhi ata kama kuna sinagogi la Wayahudi lazima linomolewe sababu ardhi inatakiwa ibarikiwe kwanza ndipo itumike
Na huu sio ugaidi!???
 
Taarifa yako sio sahihi kusibitisha ilo weka chanza cha habari yako

Kanisa lipo na limesimama imara ni km wiki mbili zimepita israel walisibitisha na kuonesha kanisa lipo na limesimama ata ukiangalia kwa pic yako kwa nyuma kanisa lipo na limesimama

Ttzo lenu hamas kipigo kimewazidia kwaiyo mnajard kutoa taarifa za uongo kupunguza uungwaji mkono wa israel inaoupata toka magharibi
Hamas wanatafuta kila njia kuwafitinisha Waisraeli dhidi ya ulimwengu ila kiuhalisia wao ndio walianza ugaidi na kuua raia hovyo ikiwemo ndugu zetu Watanzania wawili,
Joshua na Clemency.
Rip to them
 
Back
Top Bottom