Israel yashambulia na kubomoa kanisa Saint Porphyry-Gaza

hilo ni eneo la vita, iwe kanisa, iwe mskiti unaweza kukutwa na lolote. sio jambo la ajabu hilo.
 
ISRAEL BOMBED THE CHRISTIAN MONASTERY OF MOTHER THERESA NUNS IN GAZA👍
Safi sana Israel. Hilo kanisa magaidi wameshalinajis. Wateule wamefanya vema.

Hamna huruma kwa magaidi hata wakijificha kanisani.
 
Waambie magaidi wasijifiche maeneo hayo.
Hawabomoi TU hayo majengo ila wanapeleka moto popote pale alipo gaidi
 
Gaidi akijificha ufunguni kwako utaulizwa ili afikiwe. Kama Hamas walijificha humo wapige tu, kanisa ni jengo. Hekalu la Suleiman pale Israel lilivunjwa ,wewe unaona ajabu kanisa, sijui msikiti. Hujui vita Wewe?
 
Na huu sio ugaidi!???
 
Hamas wanatafuta kila njia kuwafitinisha Waisraeli dhidi ya ulimwengu ila kiuhalisia wao ndio walianza ugaidi na kuua raia hovyo ikiwemo ndugu zetu Watanzania wawili,
Joshua na Clemency.
Rip to them
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…