Israel yashambulia ngome ya Iran huko Syria

Yale machuma mrusi aliyofunga hapo Syria ni kama hayafanyi kazi. Yaani ndege za Israel zinapita kwenye hayo hayo machuma kujipigia maeneo mbalimbali. Ukichunguza vizuri unaweza kuta mrusi kafunga machine za kusaga mahindi huko Syria.
Wafuasi wa nabii Tito hawajifichi
 
Kuna watu wabishi sana hapa Duniani sijapata kuona.umbali wa kutoka Lebanon mpaka Port ya Latakia ni 300km.wakati makombola yana uwezo wa kwenda mpaka 3000km(mara 10 ya uwo umbali unaosema wewe).

Acha kubisha vitu usivyovijua
Mkuu usijichoshe kuwaelewesha hao wafuasi wa nabii Tito.
Wao wanaamini waisrael hawawwzekani
 
Waarabu uongo kwao ni sehemu ya maisha.
Kina Kimsboy wanaendelea kuwapa vichwa kina Ayatollahs kwamba wao ngangari Israel anaendelea kuwatwanga kimyakimya bila kelele 😂😂😂
 
Kuna watu wabishi sana hapa Duniani sijapata kuona.umbali wa kutoka Lebanon mpaka Port ya Latakia ni 300km.wakati makombola yana uwezo wa kwenda mpaka 3000km(mara 10 ya uwo umbali unaosema wewe).

Acha kubisha vitu usivyovijua
Acha kuleta mihemko kenge wahed
 
Moscow maintains state-of-the-art S-400 air defense systems to protect its own assets in Syria, but has never turned them on Israeli planes.
Israeli military analysts on both Channel 12 and 13 said Friday that during the meeting Putin agreed to Israel maintaining its freedom of action in Syria, but had asked for additional advanced warning of strikes.,
 
Iran ina project yake syria. Israeli inachofanya ni kutaka kuwatoa wairani kwenye mstari na Iran wamestukia
mchezo.
Israeli inatapatapa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…