Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanakumbi.
Jeshi la Israel limetoa orodha yake ya wanajeshi ambao wamefariki katika vita vinavyoendelea na Hamas.
Idadi hiyo ya vifo sasa imefikia 326, wakiwemo wanajeshi 11 waliofariki huko Gaza siku ya Jumanne.Wanajeshi hao wote walikuwa na umri wa kati ya miaka 19 na 20.
Jeshi la Ulinzi la Israel limetoa picha za hivi punde za operesheni yao ya kijeshi kaskazini mwa Ukanda wa Gaza.
Picha kadhaa zinaonyesha majengo yaliyoharibiwa na vifusi, ikionyesha ukubwa wa athari za mashambulizi ya anga na mashambulizi ya ardhini ya Israeli.
Chanzo: BBC
Jeshi la Israel linapoteza Wanajeshi wengi Gaza hawataki kusema ukweli wanatoa orodha ya kisiasa isonekane wanapigwa.