Israel yatakiwa kujihadhari na kilichoipata Marekani nchini Afghanistan

Israel yatakiwa kujihadhari na kilichoipata Marekani nchini Afghanistan

Huyo ni mmarekani sio muisraeli, na ndio anaye wapa kibuli kawapa tons 50,000 za mabomu kuanzia October mwaka jana, pia mzigo wa ela billions of dollars, hata haouth akipata nusu tu ya huo mzigo wallah middle East yote hapakaliki
Ndo maana panakalika! 😁
 
Ijumaa iliyopita Marekani ilikuwa inaadhimisha kujiondoa rasmi nchini Afghanistan baada ya vita dhidi ya ulichokiita ugaidi vilivyochukua miaka 20.

Kuangukia mikononi mwa Taliban kwa mji wa Kabul kulitanguliwa na kuuliwa kwa askari 13 wa Marekani pamoja na 170 wa jeshi la Afghanistan mnamo Agosti 26.

Baada ya hapo kilichotokea kiliishangaza Marekani juu ya mafanikio ya vita dhidi ya ugaidi.

Baada ya tukio hilo la kushtusha raisi Biden alitoa tangazo la kujifariji kwamba walikuwa wametoa hukumu kwa Osama bin Laden na kwamba Alqaeda walikuwa wameshindwa.

Kwa hivyo ilikuwa ni wakati sahihi wa kumaliza vita hivyo.Lengo la kuifuta Alqaeda lilitakiwa liende sambamba na kusimamisha serikali ya kidemokrasia nchini Afghanistan kuchukua nafasi ya Taliban.

Jinsi vita hivyo vilivyoishia kulizusha mjadala iwapo vita dhidi ya ugaidi vinaweza kufanikiwa kweli kwa njia ya vita.

Kwa upande wa Israel tangu kuundwa kwake hapo mwaka 1948 ilianza na kupambana na makundi ya kutoka nchi za kiarabu yaliyojulikana kama Fedayeen.

Baadae ikafuatiwa na chama cha ukombozi cha Palestina cha PLO.

Pamoja na nguvu kubwa ambayo Israel imekuwa ikitumia lakini badala ya kuyamaliza makundi yanayopinga nayo kwa sasa ndio yameongezeka sana na kufikia karibu dazeni mbili yakitokea Gaza, Lebanon, Syria, Iraq, Yemen pamoja na ukingo wa magharibi.

3 years after US withdrawal from Afghanistan, Israel looks to lessons learned from War on Terror

Wewe ambaye hata milo mitatu shida kwa siku na elimu yenyewe ya madrasa uliyonayo unajifanya unajua kuliko israel yenyewe
 
Ilikuwa ni kuchanganyikiwa kwa Marekani.Karzai naye alianza kuwageuka.Si utaona hapo kuwa hivyo vita vilikuwa vimewashinda.Taliban wapo njiani wanakuja na watawala wa Afghanistan wamekata mahusiano mazuri na Marekani.
Hayo ni matokeo ya kupigana vita visivyo sahihi kwa jina lolote lile ambayo hata baada miaka 10 yataikuta Israel na kuidhuru tena Marekani.
Akili ndogo tu iliyo timamu inaliona hilo kwa uwazi.
Yaani Israel washindwe na magaidi wa kiislam 😛😛😛 labda Israel ya Mkuranga kwa Asumani Kisukari.
 
Wewe unaamini sana hao Mossad ,Shinbet na CIA,
Haya twambie basi walikuwa wapi Taliban walipochukua nchi yote kwa siku chache tu mpaka na silaha zao wakazihodhi.
Jaribu kusoma vizur punguza mihemko USA alimua kuandoka Afghanistan baada ya rais wa America kutoa amri ya kuondoa jeshi hakuna sehemu USA kaondoa jeshi baada ya kupigwa na Taliban
 
Wewe ndiye unaishauri Israel based on the hicho ki-article cha kuokoteza?

Ha ha ha! Wamatumbi mna tatizo kweli kweli; kwamba Mossad, Shinbet, et. al. hawajui yote hayo! Kupata vichekesho hivi bofya *199# free of charge!
Hivyo vikundi vyote ni mali ya Iran( Jamhuri ya Kiislamu). Vyote ni vikundi vya kigaidi vyenye mlengo wa kidini. Huwezi kukuta vikundi vya kipuuzi kama hivi Saudia, Jordan, Misri au Kuwait au Bahrain etc.Na vyote vikiwa vikiwa vinatekeleza harakati zao za kigaidi wimbo wao mkuu ni "Allahu akbar"
 
Ijumaa iliyopita Marekani ilikuwa inaadhimisha kujiondoa rasmi nchini Afghanistan baada ya vita dhidi ya ulichokiita ugaidi vilivyochukua miaka 20.

Kuangukia mikononi mwa Taliban kwa mji wa Kabul kulitanguliwa na kuuliwa kwa askari 13 wa Marekani pamoja na 170 wa jeshi la Afghanistan mnamo Agosti 26.

Baada ya hapo kilichotokea kiliishangaza Marekani juu ya mafanikio ya vita dhidi ya ugaidi.

Baada ya tukio hilo la kushtusha raisi Biden alitoa tangazo la kujifariji kwamba walikuwa wametoa hukumu kwa Osama bin Laden na kwamba Alqaeda walikuwa wameshindwa.

Kwa hivyo ilikuwa ni wakati sahihi wa kumaliza vita hivyo.Lengo la kuifuta Alqaeda lilitakiwa liende sambamba na kusimamisha serikali ya kidemokrasia nchini Afghanistan kuchukua nafasi ya Taliban.

Jinsi vita hivyo vilivyoishia kulizusha mjadala iwapo vita dhidi ya ugaidi vinaweza kufanikiwa kweli kwa njia ya vita.

Kwa upande wa Israel tangu kuundwa kwake hapo mwaka 1948 ilianza na kupambana na makundi ya kutoka nchi za kiarabu yaliyojulikana kama Fedayeen.

Baadae ikafuatiwa na chama cha ukombozi cha Palestina cha PLO.

Pamoja na nguvu kubwa ambayo Israel imekuwa ikitumia lakini badala ya kuyamaliza makundi yanayopinga nayo kwa sasa ndio yameongezeka sana na kufikia karibu dazeni mbili yakitokea Gaza, Lebanon, Syria, Iraq, Yemen pamoja na ukingo wa magharibi.

3 years after US withdrawal from Afghanistan, Israel looks to lessons learned from War on Terror

"WHERE IS ALLAH ?"
20240901_080506.jpg
 
Houth wanatumia silaha zilizotengenezwa na nani??Vifaa vya Mawasiliano wanavyotumia vimezalishwa na nani?! Ni swala la muda tu
Kwa akili yako unafikiria hivyo vifaa ni vya nani?
 
Back
Top Bottom