Israel yathibitisha kifo cha mwanajeshi wake wa kwanza tangu uvamizi wa Lebanon

Israel yathibitisha kifo cha mwanajeshi wake wa kwanza tangu uvamizi wa Lebanon

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
1727873030637.png
Mwanajeshi wa kwanza wa Israel amethibitishwa kuuawa ndani ya Lebanon tangu uvamizi wa ardhini kuanza.
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilitangaza katika taarifa kwamba Kapteni Eitan Yitzhak Oster, 22, aliuawa ndani ya Lebanon siku ya Jumatano.

Kijana huyo mwenye umri wa miaka 22 alikuwa katika kitengo cha Egoz, cha makomandoo maalumu wa vita vya ardhini, IDF inasema.

Chanzo: BBC

Soma:
==>
Makomando wa Israel huwa ndani ya Lebanon, tena ndani haswa
==> Jeshi la israel kuiavamia Lebanon
==> Israel imefanya mashambulizi kadhaa ya anga kusini mwa Lebanon na kumuua kamanda wa kikosi maalum cha Hezbollah
 
Back
Top Bottom