Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Siku za Benjamin Netanyahu, mbabe wa Israel zinaelekea ukingoni kutokana na kushindwa kufikia malengo ya vita vya Gaza na kutaka kuikokota hata Marekani kwenye matakwa yake.
Azimio jipya linatarajiwa kupigiwa kura leo kwenye baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ambapo baada ya marekebisho ya azimio la wiki iliyopitwa lililopingwa kwa veto na Urusi na China,leo inatarajiwa kila nchi kulipigia kura ya ndio azimio hilo la kusitishwa vita.
Benjamin Netanyahu ametishia kufuta ziara ya mawaziri wake kwenye White House ambao tayari wako Marekani kwa mwaliko wa raisi Biden.Mawaziri hao ni Ron Dermer naTzachi Hanegbi.
Aljazeera