Israel yatoa vitisho kwa Marekani kama haitatumia kura yake ya veto kupinga azimio kwenye UNSC

Azimio ambalo limeshindwa kumaliza vita vya Ukraine na Rusia, ndo lifanye kazi kwa Israel? Israel wakikataa kusitishwa vita nani atapeleka jeshi pale Gaza kuzuia Israel? Kesho asubuhi mtaniambia. Hilo azimio litafanya kazi tu iwapo mateka wataachiwa
Japo ni ngumu israel kusitisha Vita huko Gaza, lakini azimio lililoshindwa kumaliza vita ya Ukraine ni Kwa sababu ya tulufu ya urusi!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Inawezeoana kabisa Netanyahu asimalize mwaka huu akiwa Waziri Mkuu wa Israel.
 
Ni ujinga kusitisha vita vya Gaza bila kuachiliwa kwa mateka. Israeli wapo sahihi,. Azimio lolote linahusisha kusitisha vita lazima lihusishe na mateka wote kuachiliwa 🙌
 
Haina jeshi?! Hamas walivyovamia na kuuwa raia zaidi ya 1400 walitumia nini?!
Hamas hawakuuwa hata mtu mmoja, wao walichokuwa wanafanya ni kukamta watu mateka ili waje kufanya deal la kubadilishana na wafungwa wa kipalestina. IDF walipopata habari kuwa wamevamiwa, waliliakti kibubusa kwa kuja na helikopta na kuanza kushuti watu ovyoovyo


Inasemekana na ushaidi upo kuwa waanga wengi wa October 7 waliuliwa na jeahi la Israeli
 
Haina jeshi?! Hamas walivyovamia na kuuwa raia zaidi ya 1400 walitumia nini?!
Hawana zana za kazi.
Wangepata angalau HIMARS 2 basi Israel angekwishalala chali.
RPG pekee zemefanya kazi kama hiyo na kuvipeleka vita miezi 6
 
so Israel iliua raia wake zaidi ya 1400, wanajeshi zaidi ya 200 pamoja na kuteka, kubaka wanawake na watoto halafu ikajirushia makombora zaidi ya 5000 kutoka Gaza?!🤔
 
Hawana zana za kazi.
Wangepata angalau HIMARS 2 basi Israel angekwishalala chali.
RPG pekee zemefanya kazi kama hiyo na kuvipeleka vita miezi 6
Kama wameweza kuua na kurusha makombora zaidi ya 5000 kwa siku basi hilo ni jeshi kamili.
Na ndio maana Gaza inakabiliwa kijeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…