Israel yaua kwa mpigo Viongozi watano wa Hamas waliokuwa wamejificha chini ya handaki huko gaza

Uuuuuwiiwiiiiiiiiii
Uuuuuwiiwiiiiiiiiii
Uuuuuwiiwiiiiiiiiii
Jamaaa wanataka kuangamiza hadi mayai ya magaid yote duuuuu hii ni hatariiii ndugu mdau
 
Kama ndani ya siku mbili wameuawa vinara 8, je kwa mwezi mzima hali itakuwaje
 
The Israelis have gone cuckoo..They got the approval from their 'sugar daddy' the United States by means of blank cheque when Netanyahu went there last week. And the US is about to elect a zionist Josh Shapiro as the Vice President, or a quasi-zionist Trump as president. The middle east will be red for the next 4 years whatever the US election outcome is
 

Kumbe walifika kwenye handaki na kuwauwa bila kuwakomboa mateka ??
 
Israel hawajuagi kujibu vitisho. Wao wana Muda wa kazi. Na muda wa porojo. Muda wa kazi ndio huu umefika mda wa porojo na vitisho wamewaachia. Irani na hizbullah.
Kazi nzuri mashallah
 
Viongozi wa Hamaas waliobakia 👇 👇 👇 👇 👇
 
Uharo mtupu.

Hamas wana viongozi wengi kuzidi askari😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…