Israel yaua kwa mpigo Viongozi watano wa Hamas waliokuwa wamejificha chini ya handaki huko gaza

Ndugu zangu katika Imani me naona ingekuwa busara sana kama tungetupa taulo mapema,maana kwa ngumi wanapiga Hawa Jamaa sidhani kama tutafika round ya pili, imagine Jamaa wanapiga ndoige na sugunyo kwa pamoja
🤣🤣
 
🤣🤣 Musilim wengi wameshtuka hivi karibuni, utube huko ukiangalia walivyo na hasira Kwa kudanganywa miaka mingi wanaishia kutukana tu.
 
Mtu Alie waza nakupanga mauwaji ya Israel hakuwa na akili ndio maana leo wanjutia ujinga wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…