Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Kwa kuhofia kipigo cha Iran kinachokuja serikali ya Netanyahu imewaamuru watu wote kujiandaa kupokea kipigo kutoka Iran na kwamba wasafishe mahandaki yao tayari kuishi humo.
Wakati huo huo Mawaziri wote nao wamepewa simu za satelite ambazo hazitumii minara ya simu kwa kujua minara hiyo ni miongoni mwa shabaha zitakazopigwa vita vikianza.
Kwa lolote litakalotokea hatua hizo ni kusema Israel imekubali kuwa hali na kwao sasa si shwari tena na hiyo ni machumo ya kile walichokipanda kwa muda mrefu.
Hali hiyo haijawahi kufikiriwa kutokea kwenye taifa linalotajwa kuwa na teknolojia kubwa ya ulinzi na ambalo linalindwa na mataifa makubwa ya Ulaya na Marekani.