Israel yavuna ilichopanda, Raia wote watakiwa kusafisha mahandaki ili wakimbilie humo na Mawaziri wapewa simu za satelite

Na sisi huku Tanzania tufanye nini?

Arusha tulikuwa na maombi ya kuliombea taifa takatifu la Israel.

Tukaaswa, sisi kama watanzania yatupasa kuilinda Israel.

Hadi sadaka zilikusanywa.
 
Wiki hii mabikira 72 wamekua na kazi ya kuwapokea magaidi huko peponi ..na bado tena leo wameyapokea ..naamin mabikra wapo wa kutosha ili kuendelea kuwapokea magaidi wanaotarsjiwa kuendelea kuuliwa
Hamna cha bikira tena peponi...hamas wamesha wabikurua wote...labda Muddy afyatue wengine kwenye kiwanda chake
 
Israel wanaamini ule usemi unaosema Dont Under estimate your Opponent !! Tahadhari kabla ya Hatari. Iran ikishaanza fanya yake.. wataji adjust na kwenda na Beat ya Iran mpaka kieleweke. Mwishoni Israel ataibuka mshindi tu🇮🇱
 
Israel wanaamini ule usemi unaosema Dont Under estimate your Opponent !! Tahadhari kabla ya Hatari. Iran ikishaanza fanya yake.. wataji adjust na kwenda na Beat ya Iran mpaka kieleweke. Mwishoni Israel ataibuka mshindi tu🇮🇱
Hizi ndo akili za great thinkers sasa... hongera kwako nakwa wanaokutegemea. SIO MIJITU INALETA AKILI ZA MADRASA KWENYE MAMBO SERIOUS
 
ISRAEL HANA CHA KUPOTEZA ILA MSIJE KULIALIA HUMU TENA.

HITLER ALIUA WAISRAELI MILIONI 6 ILA BADO WAPO KILA KONA DUNIANI. AYATOLLAH HUU NDIO MWISHO WA UDIKTETA WAKE! 60% YA WAIRANI WANAOMBA HII VITA ITOKEE ILI WAPATE UHURU WAO.
Hawako kila kona duniani.

Sijawahi kuona myahudi huku Peramiho.

Myahudi hajiichanganyi hata na Mzungu. Sembuse pimbi wa Afrika.

Labda huko duniani kwingine lakini huku nilipo kijijini hatuwajui wanafananaje.

Isitoshe, Nyerere aliwafurusha Tanganyika.
 
Kitaalamu ni hatua za tahadhari kwamba ikitokea kuna ambayo hayajataharibiwa na mifumo yao ya ulinzi basi yasileta madhara makubwa kwa wananchi. Unadhani Hamas walichimba mahafali bure? Walijua umuhimu wake.
 
Israel hawana hata Simba day,leo wamechakaza magaidi matano ya hizbullah na kuyapeleka kwwenye bikra.
Wanamsubiri mu Iran ajichanganye wao wamalize kazi
 

Attachments

  • 20240803_104337.jpg
    94.4 KB · Views: 3
  • 20240803_104346.jpg
    58.9 KB · Views: 2
  • 20240803_104352.jpg
    200.2 KB · Views: 2
  • 20240803_104356.jpg
    214.1 KB · Views: 2
Ayatollah na yule wa Hezibollah mbona kitambo sana wanaishi kwenye mahandaki?
Ukiwaona Houth maomba uwaambie nawatafuta, kuna mzigo wao nimeombwa niwakabidhi
 
🤣🤣🤣🤣 Wanamiliki Mahotel paka huko Masaki🤣🤣Kalaga bahoo
Tuna Mahotel huko Zanzibar Wewe upo wapi?
 
Ayatollah na yule wa Hezibollah mbona kitambo sana wanaishi kwenye mahandaki?
Ukiwaona Houth maomba uwaambie nawatafuta, kuna mzigo wao nimeombwa niwakabidhi
Houth Israel kawarudisha kwenye Zama za Majaazi na Mitumbwi , Hawana Bandari ya ku dock Meli🤣
 
Wanaishi kama nguchiro
 

Attachments

  • images-6.jpeg
    10 KB · Views: 2
Ayatollah na yule wa Hezibollah mbona kitambo sana wanaishi kwenye mahandaki?
Ukiwaona Houth maomba uwaambie nawatafuta, kuna mzigo wao nimeombwa niwakabidhi
Unawatafuta Houthi wa nn? Sitaki fujo mm.....watu wenyewe wamejichokea wale. Sasa hivi hakuna cha matamko any more
 
Niliwahi kuandika kuwa hii vita anatafutwa Saudi abia. Mazayuni na Wamarekani hawaiwachi hii vita mpaka Saudi Arabia iingizwe kwenye vita.

Sababu walizonazo za kutaka Saudi Arabia ijingie kwenye hii bita ni nzuri sana kwa upande wao:

 
Gaidi hilo, huyu ni rahisi sana kuvishwa mabomu kulipua hii nchi, watu wa aina ya mleta mada mamlaka za kiusalama zinatakiwa kuwa nao makini sana kwa kufatilia mienendo yao
Acha fitina wewe.kuna mambo mengi serikali ya kufanya kuliko kufuatilia watu ambao hawana athari yoyote.
 
Tangu kale Israel hajawahi kushindwa.
 
Iran haitaki kuua raia hata mmoja ila inataka kusawazisha hiyo nchi ikae level kama shamba la mpunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…