Israel yazidi kunywea Gaza, yasema vita vimebadilika

Israel yazidi kunywea Gaza, yasema vita vimebadilika

Allahu Akbar
Askari wa kizayuni 9,000 wamewehuka:

View: https://youtu.be/BTq4UkhJRuE?si=fjNN9VMSOKMa-oY8

Wewe kumbe unakichapa vizuri kiarabu.Umesikiliza vyema hiyo clip ya Aljazeera hapo juu.
Yule mawandishi wa habari wa TelAviv aliyetoa siri ya meli inayohifadhi maiti kumbe hakusema uongo.
Waliogopa kurudisha maiti nyumbani kwa hofu ya machafuko mapema walipoamini wanakaribia kushinda.
Kumbe ilikuwa ni mwanzo tu.Sasa ndio Hamas wanadungua kama wanapiga digidigi.
 
Si tumeambiwa Hamas wako kwenye mahandaki na mateka wao..Kulikuwa na umuhimu gani kupiga nyumba za raia ,
Mbona mlitaarifiwa magaidi yatatafutwa juu ya ardhi na underground. Anayetaka kukaa underground kwenye tunnels akae, anayetaka kukaa juu kwenye majengo ya raia akae. Anayetaka kukaa shuleni na hospitali naye akae uko. Kila mmoja atatafutwa alipo.
 
Israhell wanapokea msaada mwengine lini tena😀
 
anatafutwa na hajapatikana.Faida iko wapi?
 
Israhell wanapokea msaada mwengine lini tena😀
Ziara za mara kwa mara za viongozi wa Marekani sasa ni kutaka kutuliza kichaa cha Israel aache kuendelea na vita.
Marekani imeishiwa na maroketi ya kupeleka Ukraine na haina ya kutosha kuipa Israel ikaporomosha majengo na kuua watu wasio na hatia bila kufikia malengo yao ya vita.
Mtu akipigwa kipigo kikamkolea huwa anakuwa kama kichaa.Anarusha mawe ovyo mpaka mtaa mzima watu wanakimbizana.
 
Israhell kitaifa cha hovyo sana yaani nguvu zote zile tulizoambiwa na biibisii hazionekaniki

Israhell inaogopa hata jengo tupu pale ghaza 🤣
 
Hawa jamaa akili hawana
Maji ya bahari ukipeleka kwenye handaki yanadidimia ardhini kama hukupeleka kitu.Kutwa nzima unasukuma maji tu ikifika jioni hamna kitu.
Kwa sababu mahandaki mengi huwa hawapotezi mali kuyasakafia.Huwa wanashughulika na dari kwanza.
Nahisi kama walijaribu lakini mwishowe wakacheka wenyewe.
 
Wamepata mshutuko mkubwa hawakutegemea kama watakutana na msiba Gaza maana walijiaminisha wana kila kitu, wakapanga mipango yako kwa majigambo kuwa Hamas wachague vitu viwlli kufa au kujisalimisha.

Kinyume chake wao ndiyo wamechagua vyote wanajeshi wao wanakufa na wamekimbia Gaza wameamia kushambulia majengo na kuuwa watoto na wanawake.

Angalia hii video camera zimewanasa wanajificha baada ya kusikia Hamas wanakuja.

View: https://x.com/stairwayto3dom/status/1743660282562396474?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Toa ujinga wenu mavaa kobaz
 
Miezi mitatu mbele tangu shambuliao la kihistoria la Hamas hapo oktoba 7 mwaka 2023, kwa mara ya mwanzo Israel imekiri kwamba vita vimebadilika.

Msemaji wa jeshi la Israel katika mhojiaano na gazeti la New York times amedhihirisha hali hiyo ya mshangao.
Msemaji wa Jeshi la Israel, Daniel Hagari amesema wanajeshi zaidi wataaondolewa kutoka Gaza kurudishwa nyumbani na kwamba kwa sasa mashambulio yatafanyika zaidi maeneo ya kusini na kati ya Gaza na yatafanyika kwa kiwango cha chini katika matumizi ya ndege.

Tangazo hilo la Israel linakuja katika muda ambapo kuna uwezekano mkubwa wa kutokea vita vikali zaidi upande wake wa kaskazini baina yake na Hizbullah na huku ikitajwa kuwa hali ya uchumi wa Israel ni mbaya sana. Vile vile tangazo hilo limekuja wakati nchi marafiki wa Israel nazo zina hali ngumu ya kiuchumi na hatari ya kutokea kwa machafuko ya kisiasa.kutokana na kuunga kwao mkono vita vya Gaza.

Hofu nyengine ambayo imekuwa ikitajwa na nchi zinazoiunga mkono Israel ni uwezekano wa kusambaa kwa vita hivyo miongoni mwa nchi jirani za mashariki ya kati.Hata hivyo kitisho hiki hakijaonekana kuwa na athari sana kutokana na misimamo ya watawala wa nchi hizo.

===========

Israel says it is scaling down Gaza war​

View attachment 2866026
Israeli soldiers secure a tunnel reportedly used by Hamas on October 7 - Noam Galai/Getty Images

Israel says it has begun a new, less intense phase of the war, admitting publicly for the first time that the conflict has “shifted”.

The next step will involve fewer airstrikes and troops, and operations would now focus on central and southern Gaza, an IDF spokesman said.

Rear-Adml Daniel Hagari said: “The war shifted a stage.”

“But the transition will be with no ceremony...it’s not about dramatic announcements.”

His comments to the New York Times follow weeks of international pressure over the number of civilian deaths in Gaza. Last week, Israel sent some reservists home and moved to reinforce its northern border with Lebanon.

Anthony Blinken, the US Secretary of State, is due to arrive in Israel for talks amid fears that the conflict could spread to the wider region.

On Sunday, Mr Blinken said Palestinians displaced by the now four-month-old war must be allowed to “return home”, while warning that the violence could “easily metastasize” into a regional conflict.

Chanzo: The Telegraph
Na mabwana zao wafikiria kupunguza misaada safari hii wamefeli ngoma ngumu, kila kitu kimefeli
 
Attachments

  • Screenshot_20240128-205000_Facebook.jpg
    Screenshot_20240128-205000_Facebook.jpg
    63.5 KB · Views: 2
Back
Top Bottom