Israel yazindua mfumo mpya wa kombora linaloongozwa na Laser

Acha ngonjera na kuleta maneno mengi, Iron dome mliisifu hivi hivi ikafanyw kitu kibaya, sasa wamekuja na iron beam 🤣

Kama kawaida vita ikianza watakuja tena na iron nini sijui?

Umekalia tu ina uwezo juu, andika huo uwezo, specs, inafanya kazi vipi n.k... umekaririshwa tu ina uwezo wa juu sana...

Maelezo meeengi ila point kuu ni ina uwezo wa juu sana... upuuzi tu.
 
Najua sana waarabu-koko mtasema ni upuuzi ujumbe huu Iran na Ayatollah wao wameshaupata huo Ujumbe.

Hata ukipewa Specs huwezi kufanya lolote sana sana utang’aa Ng’Wandu macho na kubeza maana ndiyo asili yenu!!, Na sisi tulishawazoea hivyo endeleeni kubwabwaja tu
 
Wao walikuwa wapi wakati Makamanda wao waandamizi zaidi ya 30 akiwemo Mkuu wa majeshi na wanasayansi wa nuclear zaidi ya 60 walipoangamizwa kijinga?
Walijidai wanaongea na Iran kwa ajili ya amani hawataki vita na hapo ndio walifanya hayo mauwaji hivi hivi wasinge weza kuwauwa pia walijiandaa mda mrefu sana kwa kutumia wanafiki wanao jidai wa Iran wenye asili ya kiyahudi ku spy Iran.
 
Ama kweli madrasa mnadanganyana sana!!
 
Kobazi watanuna,ila watambue israili hana kazi nyingine,kazi ni moha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…