dem boy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 6,580
- 15,739
Katika hali ya kushangaza,jamaa wakiwa full-combated huku wakiwa wamejibebesha kila aina ya vifaa vya kisasa juu ya miili yao kuwasaidia kwenye battle ground dhidi ya Hamas,hapo ni baada ya jets na tanks za kisasa kusasfisha njia ili kuweka mteremko zaidi lakini mambo yamekuwa si mambo kwa upande wao.
Vitu vizito wanavyokumbana navyo imepelekea kujiondoa uhai wenyewe kabla ya kufikiwa na kobaz,wengine kabla ya kupelekwa uwanja wa vita walikuwa timamu kichwani lakini kwa sasa ukiwauliza 1+1 si ajabu wakakujibu 11.Hakika mzayuni anapata tabu kinachowafanya wajitutumue ili tuone na wao wamo ni mashambulizi ya anga tu tofauti na hapo wao si lolote si chochote R.I.P makanda Hanniye,Sinwar na wengineo hakika mlitengeneza kitu kizito haswa
aljazeeraenglish
At least six Israeli soldiers have taken their own lives in recent months, the Israeli daily Yedioth Ahronoth reports, citing severe psychological distress caused by prolonged wars in #Gaza and #Lebanon as the primary cause.
.
The actual number of suicides may be far higher because the Israeli military has yet to release official figures despite a promise to do so by the end of the year.
.
The report highlights a broader mental health crisis within the Israeli army. Thousands of soldiers have sought help from military mental health clinics or psychologists with about one-third of those affected showing symptoms of post-traumatic stress disorder.
.
The number of soldiers suffering psychological trauma may exceed those with physical injuries from the war, report said.
.
🔴 Follow our LIVE coverage - link in bio.
.
#Israel_Gaza_War
.
📸 Handout via Israeli military
View all 3,608 comments