Israeli waanza kufanya kweli, aisei inataka moyo kuendelea kufuatilia

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Israel walitoa amri watu waondoke Gaza, amelfu wakatii ila kunao wengi waliona kama mkwara wakabaki, wamelipuliwa wakaanza kutoka nduki, miili ya watoto imetapakaa pembezoni mwa barabara, inataka moyo kuendelea kufuatilia huu ugomvi.
HAMAS popote walipo sijui wanajihisi kivipi au ndio kuendelea kuaminishana uzombi wa kidini, wamesababisha maafa na majanga kwa Wapalestina kiasi ambacho hakijawahi kushuhudiwa.
Kuna maustadhi humu naona na wao wanaendelea kushabikia HAMAS, haiajawaingia akilini kwamba lile lilikua kosa...

==========================

An Israeli attack has killed dozens and wounded over 200 people fleeing the northern Gaza Strip, the Palestinian Ministry of Health in the Gaza Strip has said. Video, verified by The Washington Post, has shown the aftermath of this deadly strike along the Gaza Strip's main road on Friday, 13 October.

Source: The Washington Post

Details: A video taken along Salah al-Din Road shows bodies, including several small children, lying along the road. Black smoke rises from burning cars. There is a bicycle among personal belongings on car trailers.

The video was geolocated by Open-Source Intelligence (OSINT) experts Chris Osik and Gabòr Friesen and verified by The Washington Post.

The UN reported that late on Thursday, 12 October, Israel ordered the evacuation of 1.1 million residents from northern Gaza within 24 hours. On Friday, the Israel Defence Forces dropped leaflets over the city of Gaza urging residents to "evacuate your homes immediately and head to the south".
 
Ngoma ilikusudiwa kubadilisha dish Dunia iache kushuhudia Mgogoro wa Ukraine na Russia na sasa wageukie Hamas na Israel na hilo limefanikiwa

yanayoendelea Kule Ukraine yanafanya Raia wa Nchi zao wapunguze imani na confidence kubwa sana waliyokuwa kwa Nchi zai, tayari Poland imetangaza kujitenga na vita ya Ukraine ili iimarishe jeshi lake

Hamas ni kama IS tu Wafadhili wao wakubwa ni Mataifa ya Magharibi

Alkaeda ilikuwa na nguvu mara elf kuliko Hamas lakini kwa kuwa Wakubwa walikuwa serious wamelimaliza

ila Hamas ni kete yao muhimu hasa kuelekea chaguzi zao za ndani ya Marekani na kila ukikaribia uchaguzi lazima kinuke

Miaka yote ya Trump walikuwa kimya kwa kuwa Yule Mchumi haamini katika ugomvi kuwa na uchumi Imara

sasa hivi Biden kafanikiwa kukomba kura za wahafidhina wa Kiyahudi lakini pia kapata kisingizio cha kupeleka Manowari na Ndege za kivita mashariki ya kati
 
Israel walitoa amri watu waondoke Gaza, amelfu wakatii ila kunao wengi waliona kama mkwara wakabaki, wamelipuliwa wakaanza kutoka nduki, miili ya watoto imetapakaa pembezoni mwa barabara, inataka moyo kuendelea kufuatilia huu ugomvi.
HAMAS popote walipo sijui wanajihisi kivipi au ndio kuendelea kuaminishana uzombi wa kidini, wamesababisha maafa na majanga kwa Wapalestina kiasi ambacho hakijawahi kushuhudiwa.
Kuna maustadhi humu naona na wao wanaendelea kushabikia HAMAS, haiajawaingia akilini kwamba lile lilikua kosa...

==========================

An Israeli attack has killed dozens and wounded over 200 people fleeing the northern Gaza Strip, the Palestinian Ministry of Health in the Gaza Strip has said. Video, verified by The Washington Post, has shown the aftermath of this deadly strike along the Gaza Strip's main road on Friday, 13 October.

Source: The Washington Post

Details: A video taken along Salah al-Din Road shows bodies, including several small children, lying along the road. Black smoke rises from burning cars. There is a bicycle among personal belongings on car trailers.

The video was geolocated by Open-Source Intelligence (OSINT) experts Chris Osik and Gabòr Friesen and verified by The Washington Post.

The UN reported that late on Thursday, 12 October, Israel ordered the evacuation of 1.1 million residents from northern Gaza within 24 hours. On Friday, the Israel Defence Forces dropped leaflets over the city of Gaza urging residents to "evacuate your homes immediately and head to the south".
Takbirrrr
 
Hiyo ardhi ya middle east Ina historia ya kunywa damu za watu. kuna wakati wafalme walikuwa wanaambiwa wawaue watu wote katika mji flani, sio watu tu bali na viumbe wengine wote.

Fikiria Herode mfalme alishawahi kutoa amri ya kuwaua watoto wote kwa hofu tu kuwa kuna mfalme kazaliwa (kipindi alipozaliwa Yesu, Mwokozi wetu)

YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
HAMAS ndio kirusi, israel hana option bali kukiteketeza kwa ajili ya usalama wa sasa na waa baadae wa israel, wanachokossea watu wa gaza ni kukumbatia hamas na eti waligoma kuondoka kwa kuwatii HAMAS
 
Attachments

  • Facebook 315484381082540(SD).mp4
    5.6 MB
Israel walitoa amri watu waondoke Gaza, amelfu wakatii ila kunao wengi waliona kama mkwara wakabaki, wamelipuliwa wakaanza kutoka nduki, miili ya watoto imetapakaa pembezoni mwa barabara, inataka moyo kuendelea kufuatilia huu ugomvi.
HAMAS popote walipo sijui wanajihisi kivipi au ndio kuendelea kuaminishana uzombi wa kidini, wamesababisha maafa na majanga kwa Wapalestina kiasi ambacho hakijawahi kushuhudiwa.
Kuna maustadhi humu naona na wao wanaendelea kushabikia HAMAS, haiajawaingia akilini kwamba lile lilikua kosa...

==========================

An Israeli attack has killed dozens and wounded over 200 people fleeing the northern Gaza Strip, the Palestinian Ministry of Health in the Gaza Strip has said. Video, verified by The Washington Post, has shown the aftermath of this deadly strike along the Gaza Strip's main road on Friday, 13 October.

Source: The Washington Post

Details: A video taken along Salah al-Din Road shows bodies, including several small children, lying along the road. Black smoke rises from burning cars. There is a bicycle among personal belongings on car trailers.

The video was geolocated by Open-Source Intelligence (OSINT) experts Chris Osik and Gabòr Friesen and verified by The Washington Post.

The UN reported that late on Thursday, 12 October, Israel ordered the evacuation of 1.1 million residents from northern Gaza within 24 hours. On Friday, the Israel Defence Forces dropped leaflets over the city of Gaza urging residents to "evacuate your homes immediately and head to the south".
Kama walisema waondoke halafu wenyewe wakaamua kubaki maana yake hao ni aslari walio tayari kwa mapambano.
Wakati wa Operation ya kusafisha magaidi kule kusini, JW ilitangaza kabisa kuwa kuna maeneo watu wahame au kama kuna kazi wanafanya huko waachane nazo na wakawapa muda wa kuondoka, na waliweka wazi baada ya muda huo kuisha wasimkukute yeyote huko.
Hiyo ndiyo namna ya ku deal na watu wakorofi. Habari ya akina mama na watoto kwakweli inasikitisha na kuuma sana, ila wanatakiwa wao kuanza kuonyesha mfano kuwa wanawapenda na kuwajali akina mama, watoto na wazee, lakini hawapaswi kuwatumia kama ngao.
 
Back
Top Bottom