Israeli waanza kufanya kweli, aisei inataka moyo kuendelea kufuatilia

HAMAS ndio kirusi, israel hana option bali kukiteketeza kwa ajili ya usalama wa sasa na waa baadae wa israel, wanachokossea watu wa gaza ni kukumbatia hamas na eti waligoma kuondoka kwa kuwatii HAMAS
Akihojiwa tena hataongea hayo maneno yake.
 
, tayari Poland imetangaza kujitenga na vita ya Ukraine ili iimarishe jeshi lake
Issue ya Poland ambayo ilikua ni serious ilikua ni kuhusu kupitisha ngano ya Ukraine nchini mwao. Katika hilo Ukraine ni mshindani so Poland alikua akiangalia maslahi yake pia. Hiyo ya kijeshi haikua na any seriousness sababu watoaji wakubwa wa vifaa wanajulikana na pale Poland kuna vifaa vingi sana vya kutosha vya US na NATO.
Hamas ni kama IS tu Wafadhili wao wakubwa ni Mataifa ya Magharibi.
KWAMBA siku hizi Iran limekuwa taifa la Magharibi? Au mataifa ya Magharibi yanapitisha hela kwa Hamas kupitia Iran?
ila Hamas ni kete yao muhimu hasa kuelekea chaguzi zao za ndani ya Marekani na kila ukikaribia uchaguzi lazima kinuke
Kwa hiyo kumbe mbaya wa wapalestina siyo Israel bali Hamas?
sasa hivi Biden kafanikiwa kukomba kura za wahafidhina wa Kiyahudi lakini pia kapata kisingizio cha kupeleka Manowari na Ndege za kivita mashariki ya kati
wewe unaona ni kisingizio, kwa US ule kwao ni wajibu
 
Wameongezewa masaa 6 ya kuondoka nahisi kuanzia kesho asubuhi maafa yataongezeka
 
Ngoma ilikusudiwa kubadilisha dish Dunia iache kushuhudia Mgogoro wa Ukraine na Russia na sasa wageukie Hamas na Israel na hilo limefanikiwa

yanayoendelea Kule Ukraine yanafanya Raia wa Nchi zao wapunguze imani na confidence kubwa sana waliyokuwa kwa Nchi zai, tayari Poland imetangaza kujitenga na vita ya Ukraine ili iimarishe jeshi lake

Hamas ni kama IS tu Wafadhili wao wakubwa ni Mataifa ya Magharibi

Alkaeda ilikuwa na nguvu mara elf kuliko Hamas lakini kwa kuwa Wakubwa walikuwa serious wamelimaliza

ila Hamas ni kete yao muhimu hasa kuelekea chaguzi zao za ndani ya Marekani na kila ukikaribia uchaguzi lazima kinuke

Miaka yote ya Trump walikuwa kimya kwa kuwa Yule Mchumi haamini katika ugomvi kuwa na uchumi Imara

sasa hivi Biden kafanikiwa kukomba kura za wahafidhina wa Kiyahudi lakini pia kapata kisingizio cha kupeleka Manowari na Ndege za kivita mashariki ya kati
Kila mtu anaandika Ili mradi kachangia
 
ya inafanya kweli yaani nanyi vita vyenu dhidi ya umasikini,ufisadi ,uongozi mbaya, na ujinga na utahira vimefikia wapi? mbona bado mnasota ? pumbafu kweli.
 
Issue ya Poland ambayo ilikua ni serious ilikua ni kuhusu kupitisha ngano ya Ukraine nchini mwao. Katika hilo Ukraine ni mshindani so Poland alikua akiangalia maslahi yake pia. Hiyo ya kijeshi haikua na any seriousness sababu watoaji wakubwa wa vifaa wanajulikana na pale Poland kuna vifaa vingi sana vya kutosha vya US na NATO.

KWAMBA siku hizi Iran limekuwa taifa la Magharibi? Au mataifa ya Magharibi yanapitisha hela kwa Hamas kupitia Iran?

Kwa hiyo kumbe mbaya wa wapalestina siyo Israel bali Hamas?

wewe unaona ni kisingizio, kwa US ule kwao ni wajibu
Swali rahisi tu la kujiuliza, baada ya Mashambulizi tu, Mataifa ya Ujerumani, Uingereza na Canada yametangaza kusitisha Misaada yote ya Fedha kwenda kwa kikundi cha Hamasa.
Kabla ya kujadili igizo la kusitisha misaada kwa kundi hilo, tafakari ilikuaje walikuwa wanalifadhili kundi hilo ambalo pia huwa wanaliita la Kigaidi ?

unafahanu pia kuwa Mfadhili mkubwa wa Hamas ni Qatar ambayo pia ni mshirika wa Mataifa ya Magharibi ?
 
Swali rahisi tu la kujiuliza, baada ya Mashambulizi tu, Mataifa ya Ujerumani, Uingereza na Canada yametangaza kusitisha Misaada yote ya Fedha kwenda kwa kikundi cha Hamasa.
Kazi ipo. Kama unaweza ukaongea bitu kama hivi, halafu nikataka kuendelea zaidi ya hapo, basi mimi ndiye nitakua mwenye matatizo tena makubwa sana.
Labda dudus ,Maghayo YEHODAYA Jackal MK254 wanaweza wakanielewesha vizuri kumbe Hamas inafadhiliwa na Uingereza , Canada na German halafu hawanistui.
Nina uhakika hata mpenzi wangu wa kweli humu FaizaFoxy hili litamshangaza sana na kama analijua hili basi nitam mind sana kwa kunificha taarifa muhimu kama hii.
Labda umekosea mkuu? Isije ikawa unamaanisha Hamas supporters, yaaani nchi hizo zilivyo ban Hamas supporters kuandaa maandamano na kutoa matamshi ya kuunga mkono Hamas kwenye nchi zao, wewe ukaharakisha kuwaza kuwa wamewakatia fund Hamas?
 
Netanyahu atembelea Vikosi vya Israeli 🇮🇱 mstari wa mbele,huko Gaza 🤔
...
We are All Ready - Israel PM at Gaza Strip
.
Israeli PM Benjamin Netanyahu visits soldiers on the front line
.
Benjamin Netanyahu visited IDF soldiers on the front line in the Gaza Strip and boosted the troops' morale. Sharing visuals of the interaction with the IDF personnel, the Israeli PM asserted "We are all ready".

#Israel #Palestine #Netanyahu #MiddleEast #latest #gaza #Jerusalem #telaviv #today #video #jew #israeli #shadab #live #Video #Arab #arabic #iran #jews #UnitedNations #un #newyork #newyork #Speech #army #soldier
 
Kazi ipo. Kama unaweza ukaongea bitu kama hivi, halafu nikataka kuendelea zaidi ya hapo, basi mimi ndiye nitakua mwenye matatizo tena makubwa sana.
Labda dudus ,Maghayo YEHODAYA Jackal MK254 wanaweza wakanielewesha vizuri kumbe Hamas inafadhiliwa na Uingereza , Canada na German halafu hawanistui.
Nina uhakika hata mpenzi wangu wa kweli humu FaizaFoxy hili litamshangaza sana na kama analijua hili basi nitam mind sana kwa kunificha taarifa muhimu kama hii.
Labda umekosea mkuu? Isije ikawa unamaanisha Hamas supporters, yaaani nchi hizo zilivyo ban Hamas supporters kuandaa maandamano na kutoa matamshi ya kuunga mkono Hamas kwenye nchi zao, wewe ukaharakisha kuwaza kuwa wamewakatia fund Hamas?
Hakikisha kuwa kila siku unajifunza, usiweke deadline ya kujifunza

Iran ni Mashia na Hamas ni Masuni, hapo maana yake hakuna link ya kupigana sapoti, Iran huwa ana fadhili Hizobollah na si Hamas

tukirudi kwny hayo Mataifa ambayo unashangaa kuwa yanafadhili Hamas, nakujulisha tu kuwa Taarifa rasmi za Mataifa hayo zimetoka mara tu baada ya tangazo hilo kusitisha misaada kwa kundi hilo

Uswizi haijafanya maamuzi ya kufunga Akaunti hata moja ya Hamas iliyopo kwny Nchi yao hadi sasa.

Facts huwa hasitegemei nani atashangaa au nani atakubali

kama ambayo kwny Nchi yetu kuna maigizo mengi sana ya Kisiasa kwa jina la vyama vingi basi na kwny Siasa za kimataifa hilo pia lipo na hulazimishwi kuamini au kukubali

BBC nayo imegomea igizo la Serikali yake kuita Hamas ni kundi la Kigaidi

kuna wengi tu pia iliwachukua muda kuamini kuwa IS ni kundi la Kigaidi lenye ufadhili wa Magharibi kwa lengo la kuvuruga amani maeneo yenye resources ili waporaji wakapore kwa urahisi
 
BBC wapo neutral kama walivyo neutral kwenye ushoga. msiwakatae, ishini nao tu
unajua maana ya neno neutral?

kuna makundi mawili, kundi moja linahalalisha kulwitiana na kundi lingine linapinga kulawitiana …hapo ili uwe neutral inabidi uwe vipi?

kuna msimamo wa kuwaita Hamas ni magaidi na kuna kundi linapinga kuwaita Magaidi … ili uwe 'neutral' inabidi uwe na msimamo gani?

tusitoke kwny mada husika

Kijana wa mwny mafunzo ya kijeshi kutoka Jeshi la Kizayuni ( Amer yegal) alimpiga Risasi na kumuua hadharani Waziri Mkuu wao Yitzhak Rabbin 1994 kupinga mpango wa kumaliza Mgogoro wa middle East na kijana huyo pengine alitumwa kuhakikisha middle East haipoi kwa kuwa kupoa kwake maana yake ni njaa ya kiuchumi kwa Mabeberu

wakati anauawa deal lote la kumaliza Mgogoro lilikuwa limekamilika na makubalino yalishafikiwa na baada ya kifo chake Israel ikajitoa kwny makubaliano yale
 
Hakikisha kuwa kila siku unajifunza, usiweke deadline ya kujifunza

Iran ni Mashia na Hamas ni Masuni, hapo maana yake hakuna link ya kupigana sapoti, Iran huwa ana fadhili Hizobollah na si Hamas

tukirudi kwny hayo Mataifa ambayo unashangaa kuwa yanafadhili Hamas, nakujulisha tu kuwa Taarifa rasmi za Mataifa hayo zimetoka mara tu baada ya tangazo hilo kusitisha misaada kwa kundi hilo

Uswizi haijafanya maamuzi ya kufunga Akaunti hata moja ya Hamas iliyopo kwny Nchi yao hadi sasa.

Facts huwa hasitegemei nani atashangaa au nani atakubali

kama ambayo kwny Nchi yetu kuna maigizo mengi sana ya Kisiasa kwa jina la vyama vingi basi na kwny Siasa za kimataifa hilo pia lipo na hulazimishwi kuamini au kukubali

BBC nayo imegomea igizo la Serikali yake kuita Hamas ni kundi la Kigaidi

kuna wengi tu pia iliwachukua muda kuamini kuwa IS ni kundi la Kigaidi lenye ufadhili wa Magharibi kwa lengo la kuvuruga amani maeneo yenye resources ili waporaji wakapore kwa urahisi
Uliishia la ngapi bwashee au uko kama watanzania walio wengi la 3C??🤣🤣🤣🤣🤣

Unajifanya unajua wakati uwezo wako ni sawa na la 3C, Iran ndie mfadhili mkuu wa kundi la Hamas sasa wewe hata hujui mfadhili wa chama chenu cha ovyo hiyo ndo uje ulete ujinga wako hapa????
 
Uliishia la ngapi bwashee au uko kama watanzania walio wengi la 3C??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unajifanya unajua wakati uwezo wako ni sawa na la 3C, Iran ndie mfadhili mkuu wa kundi la Hamas sasa wewe hata hujui mfadhili wa chama chenu cha ovyo hiyo ndo uje ulete ujinga wako hapa????
Mjadala ni Mgogoro wa Israel na Palestina sio CV ya Pohamba

hata kama nimeishia la 3C bado nina haki ya kujadiliana nawe mwny PhD saba na hii ndio ladha ya JF.
 
Back
Top Bottom