Akihojiwa tena hataongea hayo maneno yake.HAMAS ndio kirusi, israel hana option bali kukiteketeza kwa ajili ya usalama wa sasa na waa baadae wa israel, wanachokossea watu wa gaza ni kukumbatia hamas na eti waligoma kuondoka kwa kuwatii HAMAS
Issue ya Poland ambayo ilikua ni serious ilikua ni kuhusu kupitisha ngano ya Ukraine nchini mwao. Katika hilo Ukraine ni mshindani so Poland alikua akiangalia maslahi yake pia. Hiyo ya kijeshi haikua na any seriousness sababu watoaji wakubwa wa vifaa wanajulikana na pale Poland kuna vifaa vingi sana vya kutosha vya US na NATO., tayari Poland imetangaza kujitenga na vita ya Ukraine ili iimarishe jeshi lake
KWAMBA siku hizi Iran limekuwa taifa la Magharibi? Au mataifa ya Magharibi yanapitisha hela kwa Hamas kupitia Iran?Hamas ni kama IS tu Wafadhili wao wakubwa ni Mataifa ya Magharibi.
Kwa hiyo kumbe mbaya wa wapalestina siyo Israel bali Hamas?ila Hamas ni kete yao muhimu hasa kuelekea chaguzi zao za ndani ya Marekani na kila ukikaribia uchaguzi lazima kinuke
wewe unaona ni kisingizio, kwa US ule kwao ni wajibusasa hivi Biden kafanikiwa kukomba kura za wahafidhina wa Kiyahudi lakini pia kapata kisingizio cha kupeleka Manowari na Ndege za kivita mashariki ya kati
Kila mtu anaandika Ili mradi kachangiaNgoma ilikusudiwa kubadilisha dish Dunia iache kushuhudia Mgogoro wa Ukraine na Russia na sasa wageukie Hamas na Israel na hilo limefanikiwa
yanayoendelea Kule Ukraine yanafanya Raia wa Nchi zao wapunguze imani na confidence kubwa sana waliyokuwa kwa Nchi zai, tayari Poland imetangaza kujitenga na vita ya Ukraine ili iimarishe jeshi lake
Hamas ni kama IS tu Wafadhili wao wakubwa ni Mataifa ya Magharibi
Alkaeda ilikuwa na nguvu mara elf kuliko Hamas lakini kwa kuwa Wakubwa walikuwa serious wamelimaliza
ila Hamas ni kete yao muhimu hasa kuelekea chaguzi zao za ndani ya Marekani na kila ukikaribia uchaguzi lazima kinuke
Miaka yote ya Trump walikuwa kimya kwa kuwa Yule Mchumi haamini katika ugomvi kuwa na uchumi Imara
sasa hivi Biden kafanikiwa kukomba kura za wahafidhina wa Kiyahudi lakini pia kapata kisingizio cha kupeleka Manowari na Ndege za kivita mashariki ya kati
Mbona hukusikitika waIsraeli walipouwawa Na kutekwa, Acha double standard 🤔Doh! inasikitisha
Mbona hukusikitika waIsraeli walipouwawa Na kutekwa, Acha double standard 🤔
Allah AkbarTakbirrrr
Swali rahisi tu la kujiuliza, baada ya Mashambulizi tu, Mataifa ya Ujerumani, Uingereza na Canada yametangaza kusitisha Misaada yote ya Fedha kwenda kwa kikundi cha Hamasa.Issue ya Poland ambayo ilikua ni serious ilikua ni kuhusu kupitisha ngano ya Ukraine nchini mwao. Katika hilo Ukraine ni mshindani so Poland alikua akiangalia maslahi yake pia. Hiyo ya kijeshi haikua na any seriousness sababu watoaji wakubwa wa vifaa wanajulikana na pale Poland kuna vifaa vingi sana vya kutosha vya US na NATO.
KWAMBA siku hizi Iran limekuwa taifa la Magharibi? Au mataifa ya Magharibi yanapitisha hela kwa Hamas kupitia Iran?
Kwa hiyo kumbe mbaya wa wapalestina siyo Israel bali Hamas?
wewe unaona ni kisingizio, kwa US ule kwao ni wajibu
Kazi ipo. Kama unaweza ukaongea bitu kama hivi, halafu nikataka kuendelea zaidi ya hapo, basi mimi ndiye nitakua mwenye matatizo tena makubwa sana.Swali rahisi tu la kujiuliza, baada ya Mashambulizi tu, Mataifa ya Ujerumani, Uingereza na Canada yametangaza kusitisha Misaada yote ya Fedha kwenda kwa kikundi cha Hamasa.
Hakikisha kuwa kila siku unajifunza, usiweke deadline ya kujifunzaKazi ipo. Kama unaweza ukaongea bitu kama hivi, halafu nikataka kuendelea zaidi ya hapo, basi mimi ndiye nitakua mwenye matatizo tena makubwa sana.
Labda dudus ,Maghayo YEHODAYA Jackal MK254 wanaweza wakanielewesha vizuri kumbe Hamas inafadhiliwa na Uingereza , Canada na German halafu hawanistui.
Nina uhakika hata mpenzi wangu wa kweli humu FaizaFoxy hili litamshangaza sana na kama analijua hili basi nitam mind sana kwa kunificha taarifa muhimu kama hii.
Labda umekosea mkuu? Isije ikawa unamaanisha Hamas supporters, yaaani nchi hizo zilivyo ban Hamas supporters kuandaa maandamano na kutoa matamshi ya kuunga mkono Hamas kwenye nchi zao, wewe ukaharakisha kuwaza kuwa wamewakatia fund Hamas?
BBC wapo neutral kama walivyo neutral kwenye ushoga. msiwakatae, ishini nao tuBBC nayo imegomea igizo la Serikali yake kuita Hamas ni kundi la Kigaidi.
unajua maana ya neno neutral?BBC wapo neutral kama walivyo neutral kwenye ushoga. msiwakatae, ishini nao tu
Uliishia la ngapi bwashee au uko kama watanzania walio wengi la 3C??🤣🤣🤣🤣🤣Hakikisha kuwa kila siku unajifunza, usiweke deadline ya kujifunza
Iran ni Mashia na Hamas ni Masuni, hapo maana yake hakuna link ya kupigana sapoti, Iran huwa ana fadhili Hizobollah na si Hamas
tukirudi kwny hayo Mataifa ambayo unashangaa kuwa yanafadhili Hamas, nakujulisha tu kuwa Taarifa rasmi za Mataifa hayo zimetoka mara tu baada ya tangazo hilo kusitisha misaada kwa kundi hilo
Uswizi haijafanya maamuzi ya kufunga Akaunti hata moja ya Hamas iliyopo kwny Nchi yao hadi sasa.
Facts huwa hasitegemei nani atashangaa au nani atakubali
kama ambayo kwny Nchi yetu kuna maigizo mengi sana ya Kisiasa kwa jina la vyama vingi basi na kwny Siasa za kimataifa hilo pia lipo na hulazimishwi kuamini au kukubali
BBC nayo imegomea igizo la Serikali yake kuita Hamas ni kundi la Kigaidi
kuna wengi tu pia iliwachukua muda kuamini kuwa IS ni kundi la Kigaidi lenye ufadhili wa Magharibi kwa lengo la kuvuruga amani maeneo yenye resources ili waporaji wakapore kwa urahisi
Mjadala ni Mgogoro wa Israel na Palestina sio CV ya PohambaUliishia la ngapi bwashee au uko kama watanzania walio wengi la 3C??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajifanya unajua wakati uwezo wako ni sawa na la 3C, Iran ndie mfadhili mkuu wa kundi la Hamas sasa wewe hata hujui mfadhili wa chama chenu cha ovyo hiyo ndo uje ulete ujinga wako hapa????
ndio msingi wa uwepo wa JFKila mtu anaandika Ili mradi kachangia