MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
Akili ipi wakati vifaa na pesa ya bajeti anachukua US na ulaya , wenye akili ni hao wanao mfadhili
Halafu kwa taarifa yako engineer wakuu kwenye mataifa yanayoitawala dunia wengi ni Wayahudi, hata hii mifumo mnayotumia kama mumetulia na mikanzu yenu inaendeshwa na Wayahudi.