Akili ipi wakati vifaa na pesa ya bajeti anachukua US na ulaya , wenye akili ni hao wanao mfadhili
Mzee hizi ni porojo tu mzee, Waisrael wanalindwa na US pamoja na ulaya, hakuna cha akili wala niniHalafu kwa taarifa yako engineer wakuu kwenye mataifa yanayoitawala dunia wengi ni Wayahudi, hata hii mifumo mnayotumia kama mumetulia na mikanzu yenu inaendeshwa na Wayahudi.
Dunia ipi nchi zenye uchumi mkubwa ni US na China , ebu acha kuchekesha watu mzee hata ukitaja nchi zenye jeshi imara Wayahudi hata namba 5 hawawezi kuwepoWayahudi ndio wanaongoza dunia, miungu yenu ya waarabu imeishia kulea chuki tu lakini hawana namna...
Dunia ipi nchi zenye uchumi mkubwa ni US na China , ebu acha kuchekesha watu mzee hata ukitaja nchi zenye jeshi imara Wayahudi hata namba 5 hawawezi kuwepo
Acheni kudanganyana Israel anasumbuana na waarabu huko kwa msaada wa US na ulaya, linapo kuja suala la ulimwengu kwq ujumla bado ni mtoto mdogo sana sana sana, Israel kazidiwa hata na Japan kwa uchumi mkubwa , wewe unafikiri kila mtu anaropoka kama wewe HAPANA, wengine tunafatilia mambo ya duniaHizi ni taarifa za level nyingine usizoziweza ila ukae ukijua kila unachotumia na kukitegemea kinaratibiwa na Myahudi kwa namna fulani, halafu nimependa hapo kwa mara ya kwanza kuona mvaa pedo anakiri uchumi wa Marekani ndio unaongoza...hehehe
Acheni kudanganyana Israel anasumbuana na waarabu huko kwa msaada wa US na ulaya, linapo kuja suala la ulimwengu kwq ujumla bado ni mtoto mdogo sana sana sana, Israel kazidiwa hata na Japan kwa uchumi mkubwa , wewe unafikiri kila mtu anaropoka kama wewe HAPANA, wengine tunafatilia mambo ya dunia
Watoto wa baba (Iran) wanapokea kichapo kwa Jirani yake, basi baba (Irani) akasirike ili akampige anayepiga aliowatuma!Hao wajinga unao sema wanapata ufadhili wa Iran kwanini asiwapige hao Iran kabisa kumaliza mzizi wa fitna, Urusi umemuona kaingiza jeshi Ukraine, huyo Israel kama ubavu anao apeleke jeshi Tehran akawapige
Israel kuwapiga waarabu haina maana ndio best duniani, vifaa vyote vilitoka US na Ulaya , mbona kanzu hata papa anavaa au kanzu ya papa ina TV!!!Hao waarabu na mikanzu yao walijaribu kumvamia wakiwa mataifa sita walichokutana nacho walikoma sana, ni kataifa kadogo saizi ya mkoa lakini kanaendeshwa na watu wenye akili.
Israel kuwapiga waarabu haina maana ndio best duniani, vifaa vyote vilitoka US na Ulaya , mbona kanzu hata papa anavaa au kanzu ya papa ina TV!!!
Sasa huyo anayetumia watu dhaifu kupigana na adui yake yeye anaakili timamu kweli? Kwanini yeye asipeleke wanajeshi wake direct huko kwenye uwanja wa mapambano?Hao wajinga unao sema wanapata ufadhili wa Iran kwanini asiwapige hao Iran kabisa kumaliza mzizi wa fitna, Urusi umemuona kaingiza jeshi Ukraine, huyo Israel kama ubavu anao apeleke jeshi Tehran akawapige
nmefatilia apo nmeona huna fact mkuuKapiga mataifa sita ya waarabu ukizingatia ndio miungu yenu hao waarabu, hehehe yalivyo mivivu na miknzu yao....
nmefatilia apo nmeona huna fact mkuu
na akili pia huna
Kuna wakati matawi ukiyakata vizuri hata mti hukaukasasa wewe unaona Israel ana akili, mzizi ni Iran nenda kawapige umalize tatizo, hivi vikundi ni matawi tu havina faida hata ukipiga, maana yatachipua tena
Mkuu ni swala la muda tu!Hawa Israel kama ni wanaume kwanini wasivamie Iran moja kwa moja kama alivyofanya Mrusi kwa Ukraine? hizi mbwembwe hazina faida yeyote
Hakuna mti wa namna hiyoKuna wakati matawi ukiyakata vizuri hata mti hukauka
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Hapa tunaambiwa Israel ana uwezo mkubwa wa kijeshi, sasa inashangaza wenye uwezo mkubwa wanavamia nchi na husika, tumeona US na sasa Urusi, huyo Israel mbona anashindwa kupiga Iran pale na kumaliza tatizoSasa huyo anayetumia watu dhaifu kupigana na adui yake yeye anaakili timamu kweli? Kwanini yeye asipeleke wanajeshi wake direct huko kwenye uwanja wa mapambano?