donbeny
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,589
- 3,184
Napenda kukaa sehemu tulivu na kunywa a glass of wine while listening to mziki laini kama coleseum n slip way bt inategemaa natoka na nani kama ni marafiki my dear huwa tanamaliza mji mzimaa
Lovely !!!!