Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hope you all mpo pouwaa.....
Kwakuwa leo ni furahi day na nimeamka na furaha ya ajabu unaweza kuniuliza swali lolote kuhusu mimi ili mumjue the real mambembe na mtofautishe na mawazo yenu......!!!
Ok nakaribisha maswali.......
Mambembe the queen of kingbed
Mambembe the queen of all weather
Una maanisha Shana Chuma ni PhD holder?Ni ajabu pale diploma holder anapomfundisha phd holder ktk field of exprience duh!
Maduu nomaaa
Ni PMSijawah fika tandale napasikiaa tu mi nakaaa tabata
Mkuu inaonekana una mvuto si wa nchi hii.....
Nimekuwa nikifuatilia avatar zako kimya kimya umejaaliwa rangi ya dhahabu.....
Naomba siku nikiwa na majukumu morogoro nikutafute japo tuzungumze mawili matatu.....
Najisikia poa kwa sababu huo ndo uwanja wangu wa nyumbani nayajuaa ya kitandani haswa ashukuriwe somo wangu naa naswetisha watu lol
Mm sio bazazi lakin naweza Kunusa kama mabadhadhi...kuna kitu nakiona hapa
mabazazi washajuaaaaaaaaaaaaaaaaa
hahahahahahahMm sio bazazi lakin naweza Kunusa kama mabadhadhi...
Hahaa yote haya sababu ya Jpm walahhahahahahahah
....my twin Ally....lov u
mapemaaaaaa ukajenga ukuta wa mereraniHahaa yote haya sababu ya jamii walah
Hahahahahamapemaaaaaa ukajenga ukuta wa mererani
umeshawahi kusoma uzi wowote wa deo kisandu(MASQO)?Hope you all mpo pouwaa.....
Kwakuwa leo ni furahi day na nimeamka na furaha ya ajabu unaweza kuniuliza swali lolote kuhusu mimi ili mumjue the real mambembe na mtofautishe na mawazo yenu......!!!
Ok nakaribisha maswali.......
Mambembe the queen of kingbed
Mambembe the queen of all weather
Nimejikuta nacheka tu na swali lakoumeshawahi kusoma uzi wowote wa deo kisandu(MASQO)?