Napenda kukaa sehemu tulivu na kunywa a glass of wine while listening to mziki laini kama coleseum n slip way bt inategemaa natoka na nani kama ni marafiki my dear huwa tanamaliza mji mzimaa
ok kila la kheri endelea kula maisha mkuu ila chukua maamuzi mapema kabla maisha hayajaanza kukula weweHapana bado ila nipo na mtu na wakunioaa wapo wanaojitokeza bt bado kidogo nakula kwanza maisha
Mkuu inaonekana una mvuto si wa nchi hii.....Unajisikiaje kujiita queen of kingbed!
So ofisi yako inapatikana wapi?,jina? nikiwa nataka cake?Yes huwa natengeneza cakes and im planning kabla huu mwaa haujaishaa nianze kufanya catering
Oky,kwahiyo hutaki wateja?Hapana siwez kuelezeaa in details zaidi we jua.ndo mambo ninayo yafanyaa