Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Sa tangazo gani na ww unajuaa maana ya advertising?aina za adverting??element zake je??acha shobo chill
Sehemu sahihi ni wapi?Nawahitaji saaana bt hapa sio sehemu sahihi ya kuwapata
Kwani hiloo nililokuuliza siyo swali Mkuu?Naona maswali yameisha mkuu im too smart nshakuelewaa....
mambembe unauza maembe? unafanya biashara gani dada
Sawa nimekuelewa,japo swali langu umelichukulia tofauti!skip plzz
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja niende zangu kwenye page za soka huku sikuwezi
1.umeolewa ?Hope you all mpo pouwaa.....
Kwakuwa leo ni furahi day na nimeamka na furaha ya ajabu unaweza kuniuliza swali lolote kuhusu mimi ili mumjue the real mambembe na mtofautishe na mawazo yenu......!!!
Ok nakaribisha maswali.......
Mambembe the queen of kingbed
Mambembe the queen of all weather
HongeraaaYes huwa natengeneza cakes and im planning kabla huu mwaa haujaishaa nianze kufanya catering
Siwez kusema kwa sababu kila mahusiano yana zawad zake na zote zina umuhimu na ni za kujumbuka by the way sipendi pesa ila napenda assetMambembe ni hela gani kubwa uliwahi kupewa baada ya kugongwa?!! (sina maana umeuza, ila kama nauli au ya saluni tu maanake nywele huwa zinavurugwa hasa)
I guess its a toughie.Siwez kusema kwa sababu kila mahusiano yana zawad zake na zote zina umuhimu na ni za kujumbuka by the way sipendi pesa ila napenda asset