Issa furahi day you can ask me swali lolote

Mambembe unakumbana vp na tongozwa za maboss zako?
Je ulisha wahi kutoka na mume wa mtu? Je,ulijutia?
 

Sina swali, nina ombi wala nisizunguke sana unisusie papuchi yako
 
Ah wapI best..mwanga tu huo..mie sio rangi ya "zahabu'ukitaka rangi hiyo nenda Mbeyaaaaa
Mkuu inaonekana una mvuto si wa nchi hii.....

Nimekuwa nikifuatilia avatar zako kimya kimya umejaaliwa rangi ya dhahabu.....

Naomba siku nikiwa na majukumu morogoro nikutafute japo tuzungumze mawili matatu.....
 
Najisikia poa kwa sababu huo ndo uwanja wangu wa nyumbani nayajuaa ya kitandani haswa ashukuriwe somo wangu naa naswetisha watu lol

Ohh naomba kwa heshima yako Mambembe unipe hayo maujuzi shost. .K.K.M! (Kizuri kula na mwenzioo )maisha ndo haya haya
 
Katika pita zako na ujuzi wako ushawahi swetishwa na mwanaume badala ya wewe kumswetisha?
 
Mambembe .

Ndoto zako zilikuwa ni zipi? na
Mpaka umri wako ulipofikia je unadhani ndoto zako zimetimia kwa asilimia ngapi.

Kipi usichopenda?
 
umeshawahi kusoma uzi wowote wa deo kisandu(MASQO)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…